Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

Umenikumbusha lecture wangu mmoja pale Muhas anaitwa 'kisenge' dah jamaa alikuwa mtata sana kama huna discipline
 
Kisenge maana yake ni chumba
Nimekumbuka wakati tunacheza Hedex Cup Kampala pale Nakivubo Yanga na Villa ..basi beki wa Villa wakasema **** oyo. .nilijua ni tusi. Kumbe maana yake ni mkabe au mlinde huyo. **** amateka ga JF
 
mbona mnapishana kwenye tafsiri mara KISENGE ni chumbani mwingine anasema NO tutaelewaje. au hamjatoa Bukoba maana ndio mnaweza mkaelewa iyo lugha nasikia wa bukoba wanaelewana na waganda
kisenge maana yake ni NO au hapana au hakuna
 
Am jocking bwana ni mtanzania aliyeanzisha business akakwama baada ya mizgo ya watu kuchelewa wakawa na hofu wanashtushwa.kuona.anawalipa ambao walidhani wamelizwa japo kuna majungu ya kumchafua huyu mtu ambaye ni mimi
Poa poa mkuu, watu sometimes wanakumbuka mambo ya vile vikundi vya kitapeli vya miaka ile

Lecture wako... Sawa
Umenikumbusha lecture wangu mmoja pale Muhas anaitwa 'kisenge' dah jamaa alikuwa mtata sana kama huna discipline
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom