Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool huko Monduli

Spanishboy

Senior Member
Apr 24, 2011
118
65
Kwenye simulizi za zamani tulikuwa tukiambiwa..wanyama wakaishi kwa raha mstarehe, sasa ndo kilichojili huko Monduli. Pengine hatujawahi kufikiria kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea.


Kwa umakini mtazame Twiga huyu Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool huko Monduli, Tanzania - Tabianchi
article-2165404-13CFA82F000005DC-356_636x425.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom