YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
halafu kwa miaka mitano chadema walikuwa hawafanyi mikutano sasa hizo pesa za ruzuku na zile walizokuwa wakikatwa wabunge walikuwa wakizipeleka wapi?Mkishatembeza bakuli na ruzuku ya kila mwezi, hela yenu mnapelekaga wapi? Maana hamna mradi wowote mnaofanya.