Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,651
18,307
Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.

Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
1599339891434.png

Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
1599339454787.png
 
Nimehesabu haya mabasi na hizo fuso jumla gari 16....Basi ni watu 65@, ujazo wa fuso mkisimama nadhani Mia wanafika au zaidi. Basi 5 = Abiria 325, fuso 11 zilizobaki jumla sawa na watu 1100. Jumla 1365. Hapa ccm wanatafuta uhalali wa kisiasa Ila kiufupi wao ndo chama kilichokufa sio upinzani. MMEKATALIWAAAAA😂😂😂😂
 
Na hapo yanashusha na kurudia wengine. Kwa hiyo hesabu sahihi yaweza kuwa 1365 mara 3 au zaidi
 
Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CDM wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CDM imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.

Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996

View attachment 1559993
Ahahah
 
Aiseeee
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
 
Tusubiriane sanduku la kura muda huu wa kufundishana .CCM ina wanachama matajiri walio tayari kutoa magari yao kusafirisha watu .Chadema matajiri wamewasusa hawako tayari kuwachangia kwa polite tofauti na kipindi cha Lowasa na Slaa.Chadema haiungwi mkono na matajiri ndio maana nawachangii usafiri wa wanachama

Pili mikutano ya chadema watu ni wachache sababu wanazindua kwa kanda hivyo ile mikutano watu wanatoka mikoa yote kwenye kanda husika kusema wanakuja kwa miguu uongo wengi wanasafiri kwa mabasi na malori toka majimbo ya mikoa mingine na kulala guest house kuhudhuria uzinduzi wa kanda kwa gharama za ofisi za kanda.Kihuhalisia wanaohudhuria mikutano ya chadema ni wachache sababu mikutano ya uzinduzi unayoiona ni ya watu kutoka kanda nzima za wilaya zote za mikoa iliyo kwenye kanda husika wakati CCM umati unaouona ni wa Jimbo husika tu.

Hapo ukitaka kujua mfano watu watu halisi wa mbeya mjini waluohudhuria mkutano wa Lisu wako wangapi? Chukulia hivi mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini waluohudhuria mfano ni mia moja majimbo kwenye kanda yako kumi na yameleta watu kujua wa mbeya mjini tu wako wangapi chukua 120 hawa kwa majimbo 10 jimbo la Mbeya mjini wahudhuriaji halisi ni 12 wakati ukija CCM sisi hatuzindui kwa kanda ni kwa watu hapohapo ukiona waluiohudhuria ni 120 ni 120 jamii wakati wa happy.Kura zikipigwa Leo mahindi nani happy mbeya mjini? Ni CCM kwa kushinda kura 120 kwa 12
Endeleeni kudanganyana yaani mkutano wa kanda hata hamuelewi maana yake mfano kutoka Iringa au nyasa mtu aweza kuja hudhuria mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini kwa miguu?
 
Tusubiriane sanduku la kura muda huu wa kufundishana .CCM ina wanachama matajiri walio tayari kutoa magari yao kusafirisha watu .Chadema matajiri wamewasusa hawako tayari kuwachangia kwa polite tofauti na kipindi cha Lowasa na Slaa.Chadema haiungwi mkono na matajiri ndio maana nawachangii usafiri wa wanachama

Pili mikutano ya chadema watu ni wachache sababu wanazindua kwa kanda hivyo ile mikutano watu wanatoka mikoa yote kwenye kanda husika kusema wanakuja kwa miguu uongo wengi wanasafiri kwa mabasi na malori toka majimbo ya mikoa mingine na kulala guest house kuhudhuria uzinduzi wa kanda kwa gharama za ofisi za kanda.Kihuhalisia wamehudhuria mikutano ya chadema ni wachache sababu mikutano ya uzinduzi unayoiona ni ya watu kutoka kanda nzima za wilaya zote za mikoa iliyo kwenye kanda husika wakati CCM umati unaouona ni wa Jimbo husika tu.

Hapo ukitaka kujua mfano watu watu halusi wa mbeya mjini waluohudhuria mkutano wa Lisu wako wangapi? Chukulia hivi mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini waluohudhuria mfano ni mia moja majimbo kwenye kanda yako kumi na yameleta watu kujua wa mbeya mjini tu wako wangapi chukua 120 hawa kwa majimbo 10 jimbo la Mbeya mjini wahudhuriaji halisi ni 12 wakati ukija CCM sisi hatuzindui kwa kanda ni kwa watu hapohapo ukiona waluiohudhuria ni 120 ni 120 jamii wakati wa happy.Kura zikipigwa Leo mahindi nani happy mbeya mjini? Ni CCM kwa kushinda kura 120 kwa 12
Endeleeni kudanganyana yaani mkutano wa kanda hata hamuelewi maana yake mfano kutoka Iringa au nyasa mtu aweza kuja hudhuria mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini kwa miguu?
Hizi hesabu zako ni kama za Polepole, unachukua moja unakopa mbili unaweka huku..unajumlishia juu,unatoa ya chini

Sikiliza boss ..
Chadema haina uwezo wa kulipia watu nauli isipokua yenyewe ndio inatembeza bakuli kila siku.

Pia wanaohudhuria toka wilayani ni wachache sana na hasa ni wagombea wa nafasi mbalimbali.

Jambo la kweli ni hilo la kwamba Chadema wachangiaji kwa sasa hakuna kwakua wenye uwezo wengi wameshafilisiwa na CCM/Serikali,na pia wanatishwa kuchangia.

Kunywa maji jomba manake leo umelala na viatu pumbavuuuuuu!!!!
 
Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CDM wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CDM imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.

Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996

View attachment 1559993

Watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria mikutano yake bwana yule huku ni bwana huyo huyo amesema hatawapandishia mishahara!!! Kweli kiatu cha baniani kizuri.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom