Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.
Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.