Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

Awe CCM b c d yaani awavyo awe hivyo ,mnaondoka tu , ila hapo kwenye Tingatinga bado nipo hapo hapo na ukitaka kujua nani TingaTinga kati ya Lowasa na Makomeo angalia zoazoa ya uchukuaji fomu , bila ya shaka yeyote ile utakubali ndani ya moyo wako kuwa TingaTinga ni Lowasa na mifano hai ipo njiani nakwambieni majembe na mipini ificheni ,au tumuite kizhungu Bulldozer ndio mtazidi kuukubali ukweli.
Lowasa maji ya moto huyo, hamna kitu.
Subiri vimbwanga vikianza, mtajipapasa.
 
Kitu wasichoelewa ukawa ni kuwa magufuli au ccm hawakutoa tangazo la kuwataka wananchi wajitokeze kwa wingi kumsindikiza magufuli wakati akichukua fomu. Lowassa alitangaza watu watokeze kwa wing wakati anahukua fomu. Wengie walitoka ausa, Dodoma, morogoro na kadhaika. Mgomo mabasi uliahirshwa makusud.
 
Back
Top Bottom