Picha - timu mpya ya baraza la mawaziri Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - timu mpya ya baraza la mawaziri Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, May 8, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Kushoto Baraza la Mawaziri Tanzania xxxx Kulia Barala la mawaziri la Marekani.
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ningekushangaa sana kama siku ingepita bila kutuwekea picha ya ikulu.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  ha haha ,,sasa tatizo liko wapi?
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Idadi kubwa mno hata nchi kubwa kama Marekani, Urusi au China hawana cabinet kubwa kiasi hicho wakati uchumi wa nchi zao ni mkubwa, sasa nchi maskini inayoishia kwa misaada mawaziri ni wa kumbwaga nadi wasio na wizara maalum.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hawa ni wachumia 2mbo,watakula kwa kasi zaidi
   
 6. alberaps

  alberaps JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,450
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: sgmltable"]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of State[/TD]
  [TD="align: left"] Hillary Clinton[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of the Treasury[/TD]
  [TD="align: left"] Timothy Geithner[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Defense[/TD]
  [TD="align: left"] Leon Panetta[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Attorney General[/TD]
  [TD="align: left"] Eric Holder[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of the Interior[/TD]
  [TD="align: left"] Ken L. Salazar[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Agriculture[/TD]
  [TD="align: left"] Tom J. Vilsack[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Commerce[/TD]
  [TD="align: left"]John Bryson[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Labor[/TD]
  [TD="align: left"] Hilda L. Solis[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Health and Human Services[/TD]
  [TD="align: left"] Kathleen Sebelius[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Housing and Urban Development[/TD]
  [TD="align: left"] Shaun Donovan[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Transportation[/TD]
  [TD="align: left"] Ray H. LaHood[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Energy[/TD]
  [TD="align: left"] Steven Chu[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Education[/TD]
  [TD="align: left"] Arne Duncan[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Veterans Affairs[/TD]
  [TD="align: left"] Eric Shinseki[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Secretary of Homeland Security[/TD]
  [TD="align: left"] Janet Napolitano [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  cabinetRS.jpg
  Marekani wamemalizia hapo! sisi tunao 50 na ngapi vile?

   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  na ukubwa wote ule wa nchi maana tanzania yote ni sawa na mkoa 1 2 lakini angalia baraza let ni zaidi ya mara2 na alina ufanic
   
 8. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Picha yenyewe kama ya wahitimu wa shule maana hatuwezi kutambua hata sura ya mhusika
   
 9. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Idadi siyo hoja sana isipokuwa mfumo. Wenzetu wanaboresha mfumo wa utendaji kazi na uwajibikaji, sisi tunang'ang'ania idadi. Ole wetu
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  utafikiri kwaya 5 za shule za msingi zimepiga picha kwa pamoja baada ya mashindano ya UMITASHUNTA
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Tanzania ingekuwa na pesa za kumwaga, nafikiri JK angetupa Uwaziri na ubunge wana JF ili tuache kupiga kelele!! Bunge lingekuwa na ubunge 10000 na mawaziri 2000. JK hana noma ila ni uchumi wa nchi unasumbua. Huoni kila kukicha anachakalika majuu kututafutia kitu kidogo??
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wenzetu kwao wanaweka jitihada kubwa sana kwa wale wanaofanya kazi chini ya mawaziri hawa. Sisi msisitizo mkubwa ni kwa mawaziri wenyewe utafikiri wao wanalolote jipya wanalofanya huko wizarani!
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Mboana ni wengi sana wote hao wanategemea kodi zetu.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  alina ufanic??????????????????? hikini ki latin au kipogoro???
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaaani kuna wengine wamenenepa kama wametiwa hamira...khaaaaa maushungi mwanzo mwisho yaani ni balaaaa..yaani hapo wanasubiri maposho tu
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kila mmoja awe na VXV8 ambalo halizimwi akiwa kwenye mkatano hadi atoke.vocha kila wiki,mlinzi,katibu,simu ya nyumbani free,nyumba ya kuishi,gari la wizara kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Mfumo huu hautusaidii nafikiri umefika wakati wa CAG kupitia haya matumizi kwa kufanya ukaguzi wa thamni ya fedha.halafu serikali irekebishe haya,maana ni mzigo kwa nchi maskini kama hii.
   
 17. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
 19. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kupeana vyeo, Ndio shida yetu hakuna kingine.mkoa wa Mara una ma RPC wawili tarime na Mara yenyewe, why? Only Mwema knows. Dar es salaam, RPC watatu why? No one knows.

  Viongozi wavivu, wananchi wavivu tunashindwa hata kuhoji vitu vya msingi. Mtu akiamua Leo anaunda mikoa, Njombe, Katavi, Geita, Ghafla wilaya kadhaa, ikiuliza sababu tunataka kuleta maendeeo karibu na wananchi.

  Rais ana wizara sio chini nne, makatibu wakuu kila wizara chini yake wakurugenzi chini ya makatibu wakuu na bado ana wasaidizi kibao na mwingine kamteua leo.

  Anyway, do we have to say more?
   
 20. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Sio mahudurio tu, jengo la wenzetu ni dogo (wanabanana) sisi tunajenga kubwa ili wapate raha then walale. Mwisho w siku tunaenda kuomba msaada kwao
   
Loading...