Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Ile original unapima ukubwa wa kiganja, usikhofu ukubwa wa kinywa kwani ni kumega kwa awamu hadi yote inaishia kinywani.
Leo nimekumbuka kuwaletea picha baada ya wimbo wa masifu usemao:
"Yeye ni Bwana wa Mabwana , na mfalme wa wafalme wote, nao waliopamoja naye ni waitwa wateule na waaminifu."