RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,833
Inategemea na ubize wa hio reli. Watu wamefanya utafiti wakaona kwetu sisi reli mbili ni hasara hazitakuwa utilized to the maximum yaani hakutakuwa na treni nyingi kwahio kupishana niiming kwenye station.ni vitu viwili tofauti lakini vina endana... wapo walioweka reli mbili ya kwenda na kurudi... sasa sijui wewe una zungumzia wenzenu wa wapi??? labda wakenya...; kwenye stesheni kuna kuwa na idadi ya track mbili na kuendelea ina tegemea na ukubwa wa stesheni husika...
Mfano treni moja inatoka Dar moja inatoka Dodoma zinakuja kupishana Morogoro. Nikupe mfano hai London Underground zina reli moja isipokuwa kwenye station reli hio inaji-branch kutoa moja kushoto ingine kulia.
Treni hizo zinapishana kwenye vituo.