Picha tano za kusisimua, mkutano wa Trump na Obama

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
_92389381_trump_reu.jpg
_92389399_trump2_reu.jpg
_92389377_trump2_epa.jpg
_92389385_trump_epa.jpg
_92389403_trump_getty.jpg



Huitaji degree iliyohakikiwa kujua nini kinaweza kuwa kinaendelea hapa ...
 
Wamewezaje baada ya matamshi yao ya kukashifiana hadharani kabla na wakati wa kampeni? Kwenye hizo picha ni unafiki mtupu!
 
Trump anaona kama anacheleweshwa hivi

Obama kimoyo moyo anasema "AKI TUMEKWISHA"
 
Picha ya pili anamwambia,ukileta yale mambo yako ya kipuuzi uliokuwa unaongea kwenye kampeni hapa ikulu utaharibu hii nchi,shauri yako.
 
Back
Top Bottom