Picha tafakuri: Legacy ya Ndugai inalindwa kisawasawa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Following the footseps of the one and only one speaker bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania na kusini mwa Jangwa la Sahara Job Ndugai aliacha legacy iliyotukuka sana kwa bunge la nchi hii.

Mojawapo ya legacy yake ni kuwaapisha wabunge wasio na chama katika kigereji cha bunge na aliwaahidi kuwalinda kwa gharama yoyote sababu ni wanawake, sasa mrithi wake ambaye ni "mtaalamu wa sheria" naye anafuata nyayo zake kikamilifu akitimiza ahadi hiyo ya kumlinda mzee mdee na binti zake 18.

legacy.jpg
 
Back
Top Bottom