PICHA: STARS NA RWANDA KATIKA PICHA LEO LUGOGO; STARS yasonga NUSU FAINALI

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,780
Wachezaji wa Bara wakimpongeza Bocco baada ya kufunga bao la pili katika Robo Fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Rwanda. Bocco alishangilia huku akichechemea baada ya kufunfa bao hilo kutokana na kuumia, baada ya kugongwa na kipa wa Rwanda, Jean Claude Ndoli wakati anaenda kufunga. Bara ilishinda 2-0 na kutinga Nusu Fainali.

Kaseja amedaka, huku Yondan akiwa tayari kumsaidia

Manahidha wakisalimiana kabla ya mechi, Juma Kaseja wa Bara kulia na Haruna Niyonzima wa Rwanda kushoto

Kikosi cha Rwanda leo

Kikosi cha Bara leo

Watanzania waliokuja kuisapoti timu hapa

16.jpg
Shomary Kapombe akimdhibiti Dadi Birori

Athumani Iddi 'Chuji' akiruka juu kulia kuokoa

Amri Kiemba anamkokota mchezaji wa Rwanda

Kocha Milutin Sredojevic 'Micho'

John Bocco akiwashughulisha mabeki wa Rwanda

Refa anaonyesha kati, baada ya Kiemba anayekimbia nyuma yake kufunga bao la kwanza

Bao la Kiemba

Mwinyi Kazimoto kulia akimburuza mchezaji wa Rwanda

Ulinzi mkali langoni mwa Rwanda, lakini bado mbili zilipenya

Bocco anasababisha

Jean Claude Ndoli wa Rwanda aliyeruka hewani kudaka moja ya michomo ya hatari iliyoelekezwa langoni mwake

Mwinyi huyooo


 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,780
Haya ni TANGANYIKA v/s Z'BAR - NUSU FAINALI...
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,720
6,468
wachezaji wa bara wakimpongeza bocco baada ya kufunga bao la pili katika robo fainali ya kombe la mataifa ya afrika mashariki na kati, cecafa tusker challenge dhidi ya rwanda. Bocco alishangilia huku akichechemea baada ya kufunfa bao hilo kutokana na kuumia, baada ya kugongwa na kipa wa rwanda, jean claude ndoli wakati anaenda kufunga. Bara ilishinda 2-0 na kutinga nusu fainali.

kaseja amedaka, huku yondan akiwa tayari kumsaidia

manahidha wakisalimiana kabla ya mechi, juma kaseja wa bara kulia na haruna niyonzima wa rwanda kushoto

kikosi cha rwanda leo

kikosi cha bara leo

watanzania waliokuja kuisapoti timu hapa

16.jpg
shomary kapombe akimdhibiti dadi birori

athumani iddi 'chuji' akiruka juu kulia kuokoa

amri kiemba anamkokota mchezaji wa rwanda

kocha milutin sredojevic 'micho'

john bocco akiwashughulisha mabeki wa rwanda

refa anaonyesha kati, baada ya kiemba anayekimbia nyuma yake kufunga bao la kwanza

bao la kiemba

mwinyi kazimoto kulia akimburuza mchezaji wa rwanda

ulinzi mkali langoni mwa rwanda, lakini bado mbili zilipenya

bocco anasababisha

jean claude ndoli wa rwanda aliyeruka hewani kudaka moja ya michomo ya hatari iliyoelekezwa langoni mwake

mwinyi huyooohawajawahi kucheza soka la kuvutia, utadhani mipira wanayotumia iko tofauti na ya ulaya
 

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,638
3,650
hicho kiwanja bana!kumbe na sisi tukiandaa tena mashindano haya mechi nyingine zinaweza kupigwa pale biafra kinondoni!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom