PICHA: SPIKA ANNA MAKINDA akihudhuria Mkutano wa MASPIKA WANAWAKE DUNIANI huko INDIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: SPIKA ANNA MAKINDA akihudhuria Mkutano wa MASPIKA WANAWAKE DUNIANI huko INDIA

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 4, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  THURSDAY, OCTOBER 04, 2012
  BUNGE LA TANZANIA MFANO WA KUIGWA KATIKA KUWASHIRIKISHA WANAWAKE


  [​IMG]
  Mapema akihutubia katika mkutano wa Saba wa Maspika wanawake duniani Spika Anne Makinda aliwaambia wajumbe kuwa wabunge wanawake Tanzania ni 36% jambo ambalo lilifanya Tanzania kusifiwa na kushauriwa kusonga mbele hadi 50%.
  [​IMG]
  Rais wa Inter-Parliamentary Union (IPU), Bw. Abdelwahad Radi (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa IPU Bw. Anders Johnsson ni miongoni mwa viongozi mashuhuri waliohudhuria mkutano huo unaosisitiza wanawake kupewa nafasi zaidi katika vyombo vya maamuzi.
  [​IMG]
  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini India, Engineer John Kijazi, wakati wakuingi a katika ukumbi wa utamaduni wa Kihindi katika viwanja vya Bunge la India mjini New Delhi.
  [​IMG]
  Wakiwa kwenye vazi maalumu waliloandaliwa, kutoka kulia ni Spika wa Bunge la India na mwenyeji wa mkutano wa Saba wa Maspika wanawake duniani Mhe. Meira Kumar, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda na spika wa Bunge la Swaziland Mhe Gelane T. Zwane.
  [​IMG]
  Picha ya pamoja ya baadhi ya maspika wanawake wa IPU ndani ya vazi maalumu waliloandaliwa.

  THURSDAY, OCTOBER 04, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Spika wetu ni Mtembezi haswa... hapishani na Rais wetu... yaani naona ni SPIKA MTEMBEZI kuliko wote
  Nchi yetu iliokuwa nao na pia ndie Mvivu kufanya kazi kuliko Maspika wote tuliokuwa nao; lakini ndio spika Mwenye NYUMBA SWAFi ya SPIKA kuliko Maspika wote DODOMA na DAR - zina SWIMMING POOL... Jamani Kweli ANNA MAKINDA ndani ya SWIMMING costume kuogelea ? si tumepoteza PESA za SERIKALI ?
   
 3. M

  Moony JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wamependeza, ila sijui wakija TZ mtawapa vazi lipi
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Tuna VITENGE... au BAIBUI ni real SWAHILI Tradition...
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Amependeza kwenye sarii

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 6. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo ni mlezi wa ufisadi wala hana jipya kwetu. Nchi ndiyo kwanza inadidimia na CCM inawafia with no cost!
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Anarudi lini
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  kwani vazi la taifa, kupitia mchakato wa kina nchimbi na alex kusaga bado hawajapata tu
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Duuu nchi hii kila kiongozi yupo nje
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  kwa mara ya kwanza namuona bi k.roboto kapendeza
   
 11. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Senki yu vere maaaacheeeeeeeeeeeeee!
   
Loading...