Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao

Ngoja niandike Kwa herufi kubwa : I Have never been a member of any political party BUT I love my Country so much even though napiga deki Huku Ulaya. Kwanza nimejiuliza Kama TRC ni shirika La serikali inayoongozwa na CHAMA GANI. CHADEMA. PIli nikajiuliza hvi wafanyakazi wote wa taasisi Za Serikali ni wanaCCM , then Hiyo Reli ambayo inajengwa ipo kweli Au ni hadithi zile Za vijana Kama huyu mwandishi ambaye naamini ameshakula at least mara moja maishani kwake Rushwa Au kutoa Rushwa , kudhulumu, kuchepuka, kusaliti. Kusema uongo na kuiba . Then katika maneno yako mengi na hizo picha je zimeonyesha na kuprove kuwa Reli yetu haijengwi. And je huyu anasema Kwa nia ya kujenga Au kubomoa. Je kiongozi kuthubutu kujenga Reli ni jambo dogo Hata Kama Ndo Kwa miaka 5 yote angefanya hilo Tu. Nimegundua we ndugu mgonjwa. Umekuwa mwanachama wa chadema Upinzani Au mwana siasa kuliko binadamu na Hiyo ni mbaya. You are intellectually DEAD. You are being led by your emotions and unfounded und groundless hate . Let me tell you, in such a big and poor country like Tanzania with vijana wanaotaka kuwa na Magari na nyumba miezi Michache ya their public service then Kwa mmoja kusema tujenge Reli, it’s a miracle that you ought to experience. Just Grow up
 
sio kosa la mwigulu, ni kosa la spika aliwapa majukumu ya kuwajibu wapinzani kwenye mitandao.
 
CCM Wanazidi kupata aibu baada ya kutumia picha za uongo ili kuhadaa umma!

Naomba Makada Mkuje hapa....mkuu Salary Slip Hebu njoo uone, @shakaza MANI tpaul BAK View attachment 1000963View attachment 1000964View attachment 1000965View attachment 1000967View attachment 1000966

Sent using Jamii Forums mobile app
MiCCM inapenda sana kutafuta sifa za kijinga. Sijawahi kuona mijitu mibwege na yenye akili za kiqumer iliyojaa utoko kama miCCM. They are a notorious bunch of twits! Kwanini hasa muwadanganye watanzania milioni 65 kwa ahadi zenu za kiqumer ambazo hazitekelezeki? Yaone mabichwa makubwa kama matikiti maji...mxiiiiiiiiiii!!!
 
Nasikia Msemaji wa serikali kazitumia tena
Hizo nyingine ni za SGR Kenya zinaonesha daraja la reli likikatisha kwenye mbuga ya wanyama ya Tsavo, hata hivyo kuona tangazo la TRA linaonesha treni ya SGR ikitembea ikiwa ni mafanikio ya kulipa kodi.
 
M'mbea mkuu wa serikali kaitumia tena Hii picha
Daaaah! Hatari sana haya ndiyo matokeo ya kuongozwa kwa video na mapicha. Usanii mtupu wananchi wanadanganywa kila siku
 
Kama yule @kigwangallah aliyetengeneza Sanamu ya Nyerere
Mambo mengine hadi aibu.Hivi mbona wanaangaika sana kupaka paka mafuta mambo.Kuna haja gani yakudanganya.Ata kama ndo kumpamba mheshimiwa sana uku kumezidi sasa.Ndo ile sugu alisema "Mpambe unapamba hadi unaharibu"
 
Mpwa habari za siku nyingi
Serikali hii ya Awamu ya tano ina sifa za kibinadamu, na sio sifa kama taasisi.. Sifa mbili kubwa za kibinadamu ambazo Serikali ya Awamu ya tano inazo, ni uongo uliotukuka, na roho ya ukatili..
 
Back
Top Bottom