Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao

Sometimes wanakua misinformed,lakin wabongo mlivyonatabia mbaya mtashikilia bango mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Misinformed? Daktar mwenye phd anashindwa kuhakikisha kuwa hizo picha ni za kweli ama lah?.
Alikuwa waziri wa ulinzi.. inamaana hakujifunza chochote kutoka kwenye wizara hiyo?
Awe na tabia ya uchunguza.. sio kupost kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikutana na mwandishi na mtangazaji nguli kama yule unaweza kuomba radhi na kutangaza kuwa umeshikwa ghafla na degedege
Hahahaha,Kuna jamaa mmoja wa Aljazeera anaitwa Mehdi Hassan,kipind chake kinaitwa Heat to Head.Huyu jamaa ana maswali Steve anasubiri,halafu anakubana hadi ujibu ndo amove On.
 
CCM Wanazidi kupata aibu baada ya kutumia picha za uongo ili kuhadaa umma!

Naomba Makada Mkuje hapa....mkuu Salary Slip Hebu njoo uone, @shakaza MANI tpaul BAK View attachment 1000963View attachment 1000964View attachment 1000965View attachment 1000967View attachment 1000966

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja niandike Kwa herufi kubwa : I Have never been a member of any political party BUT I love my Country so much even though napiga deki Huku Ulaya. Kwanza nimejiuliza Kama TRC ni shirika La serikali inayoongozwa na CHAMA GANI. CHADEMA. PIli nikajiuliza hvi wafanyakazi wote wa taasisi Za Serikali ni wanaCCM , then Hiyo Reli ambayo inajengwa ipo kweli Au ni hadithi zile Za vijana Kama huyu mwandishi ambaye naamini ameshakula at least mara moja maishani kwake Rushwa Au kutoa Rushwa , kudhulumu, kuchepuka, kusaliti. Kusema uongo na kuiba . Then katika maneno yako mengi na hizo picha je zimeonyesha na kuprove kuwa Reli yetu haijengwi. And je huyu anasema Kwa nia ya kujenga Au kubomoa. Je kiongozi kuthubutu kujenga Reli ni jambo dogo Hata Kama Ndo Kwa miaka 5 yote angefanya hilo Tu. Nimegundua we ndugu mgonjwa. Umekuwa mwanachama wa chadema Upinzani Au mwana siasa kuliko binadamu na Hiyo ni mbaya. You are intellectually DEAD. You are being led by your emotions and unfounded und groundless hate . Let me tell you, in such a big and poor country like Tanzania with vijana wanaotaka kuwa na Magari na nyumba miezi Michache ya their public service then Kwa mmoja kusema tujenge Reli, it’s a miracle that you ought to experience. Just Grow up
 
Back
Top Bottom