PICHA: Salma Kikwete naye amnadi Chenge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Salma Kikwete naye amnadi Chenge!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mag3, Oct 15, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,188
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duh, kweli kwenye siasa ni kama utoto hivi. Yaani hadi chenge anakubali kunyanyuliwa mkono na kunadiwa na hako ka mama? Ni ka nani kwa Chenge hako kamama? Kweli siasa mchezo mchafu. Hapa ndo najua ni kwanini akina Kawambwa pamoja na PhD yake anajikuta anapiga magoti kusujudia picha ya Kikwete.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  This family, hv wanafahamu wanachokifanya?????
   
 4. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,188
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Duh, hii ni kali - yaani baba, mama na mwana wanavyoililia Ikulu hata kama wanafia njiani ! Jamani hivi ni kitu gani hasa kinawafanya wahangaike kiasi hiki ? hii peke yake ni sababu tosha ya wanananchi kuhakikisha kuwa ving'ang'anizi hawa wanaondoka tarehe 31, Oktoba.
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Usimuamshe aliyelala usije ukalala wewe, subiri makelele ya nguvu ya umma yatamuamsha 0ctober 31
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya hawaoni hata nje kukoje, wanakula keki wanashangaa watanzania hata chapati hawana!
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,346
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Ndiyo, wanafahamu. wanatembea nchi nzima ili wadanganyika wawajue. kisha awamu ijayo mama na mwana wanagombea, mnawapa Kura (kula)
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,919
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  "When a candidate is declared by the Electoral Commission to have been duly elected in accordance with this Article, then no court of law shall have any power to inquire into the election of that candidate."
   
 9. D

  Dick JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama wacheza ngoma wanazembea kucheza, wapiga ngoma wanaingia kucheza pia! Kuna ajabu gani?
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli:

  [​IMG]
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  mxiiiiiiiii hata haibu hawaoni mwisho wao ni Oct 31st
   
 12. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wanaonekana kama vile kikundi cha taarabu, taarabu imekolea vile!
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,307
  Likes Received: 593
  Trophy Points: 280
  Sio mchezo Madaraka yanakuwa kama pombe ya gongo vile
   
 14. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jamani nimechoka kuona haya mapicha ya c.c.m uwiii:mmph:
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,623
  Likes Received: 11,527
  Trophy Points: 280
  na elimu yake ya havard ananynyuliwa mkono na form four leaver teh teh teh !!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,623
  Likes Received: 11,527
  Trophy Points: 280
  JK mjanja kweli yaani yeye hakwenda kumnadi chenge matokeo yake kamtuma mke wake leh!! ana jua kesi ya chenge ipo winegreza leh!! jamaa mnafiki kweli.. kina mramba anajua hata akiwanadi mtapiga kelele nyinyi tu hapa tz basi
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  mama salma baada ya kuona vuguvugu la uchaguzi linaelekea vibaya upande wao alimuuliza mumewe JK, "hivi hawa watz wanapiga makelele ya nini? JK alimjibu kuwa WAMEKOSA UNGA WA UGALI, mama salma akamwambia "KAMA WAMEKOSA UNGA WA UGALI SI WAKANUNUE MCHELE AU NYAMA?....mmmmmmh!! mie yangu macho.
   
Loading...