PICHA: Ruge Mutahaba enzi za Sekondari Pugu

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,652
121,425
Jopo la wanafunzi wa Pugu Sekondari akiwemo Marehemu Ruge Mutahaba katika viunga vya mabweni ya shule hiyo
IMG_20190227_231840.JPG
 
pugu miaka hiyo stendi yao ilikuwa ddc kariakoo ukiwa na barua ya kwenda pugu sekondari we tafuta kijana aliyweka mikono mifuko ya suruali halafu muulize moja kwa moja unmfahamu fulani kisha mpe barua huna haja ya kummuliza kama anasoma pugu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom