Picha: Ramani ya listi ya Mamilionea Africa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,796
32,664
Ebwana wanaJF Mzuka!

Hope everything is okay with you guys. Hii hapa chini ni Ramani ya listi ya Mamilionea Africa siyo Mabilionea. Ukiangalia bongo wako 1200 huenda wakati wowote kwa kudra za mwenyez ikaongezeka ikawa 1201.

Tukumbukane kwenye maombi na sala.
IMG-20160323-WA0000.jpg
 
View attachment 334686
Subiri maombi mkuu.. Utasubiri maombi mpaka unakufa
 
Ina maana wale mabilionea wa arusha hawajafikisha idadi.Maana kwenye ramani sioni mji wa arusha
 
Nilimsikia mwandishi wa BBC akimuuliza Mohamed Dewji eti "how can you make a billion dollar in Tanzania without passing the corruption tapes" akaishia kujiumauma na hapo nikakumbuka kile ikwanja cha Pugu rd kilichoongelewa bungeni wakati huo.
 
Bongo dah unajua inatisha sana 1200 siyo mchezo milionea intem of dollars dah. Piga ua zaragaza zika fukua prince hakosi hapo
 
Subiri maombi mkuu.. Utasubiri maombi mpaka unakufa
great thinker bana hacha uchoyo piga hilo goti uniombee bana hata ikiwezekana usile kesho unifungie . U never know Bro unaweza toka kupitia kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom