Inaitwa mousoleum.Kaburi limejengewa nyumba
Lakini Chato haiwezi kuwa kama Misri.Kule Misri nasikia mwili wa firauni umekaushwa na kuhifadhiwa makumbusho watu wengi wanaenda kumuangalia.
Uliogopa ww sisi tulikua tunagonga vyombo km kawa.Kuna watu hawaamini kama jamaa kafa,Mungu fundi,watu tuliogopa hata kupiga bia mchana kudadeki
Mwamba wa AFRIKA! Kwa lipi aliloifanyia AFRIKA?Amelala hapo mwamba wa Africa tutakukumbuka daima milele,Acacia na barrick wanakukumbuka zaidi!
Tunamkumbuka sisi mwamba wa africa so we kima tuliaMwamba wa AFRIKA! Kwa lipi aliloifanyia AFRIKA?
Atakua kakosea alitaka kuandika mwamba wa Burigi Chato.Mwamba wa AFRIKA! Kwa lipi aliloifanyia AFRIKA?
Mwamba wa AFRIKA! Kwa lipi aliloifanyia AFRIKA?
Weka facts mezani; mwamba wa AFRIKA kwa lipi?Tunamkumbuka sisi mwamba wa africa so we kima tulia
Kama alivyokufa mama yako!Kuna watu hawaamini kama jamaa kafa,Mungu fundi,watu tuliogopa hata kupiga bia mchana kudadeki
Majuha hao Mkuu katika upumbavu wao. Nashukuru kwa ushauri.Mjinga mjinga hapana sababu ya kumjibu