Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Tatizo la uongozi wetu ni kila awamu inakuja na kipaumbele vyake, wakati mwingine unashindwa kuamini kuwa wanatoka ktk Chama kimoja
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nyie wote wapumbavu sana. Eti gharama. Mnataka kuendelee dar tu. Vichwa maji kabisa.

Umefurahia kwa kutuita hilo jina, kumbuka vidole vitatu vimekugeukia wewe.

Jaribu kufikiri fedha ambayo imewekezwa Dodoma mpaka leo hii ingepelekwa kuboresha huduma za maji tu kwa mfano. Tusingekuwepo Watanzania tunaotegemea maji ya madumu hii leo. Maji ya bomba yangeenea kote Tanganyika na Zanzibar. Lakini mmechukua fedha mkaenda kuzitapanya Dodoma kutengeneza soko bandia la makandarasi kwa vile miaka 17 ya utumishi wenu serikalini mmejenga intrest na sector ya ujenzi hivyo mkaamua muitengenezee mazingira ya fursa za upendeleo kwa kutuhadaa eti mwamuezi Nyerere JK Huku mkisahau kuwa mwenyewe alishasema yako mambo ya kijinga waliyafanya kama viongozi wakati wao.

Moja la kijinga ni hili la kuhamia Dodima sababu ikiwa ni katikati ya nchi. Zama hizi za settilite hoja ya ukatikati ina mashiko kweli? Katikati ya settilite ni wapi ili irahisishe mawasiliano ya serekali tehama. Ujinga mtupu huu!.
 
Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Wewe huna akili. .punguwani usiyejitambua una kichaa cha mbwa
 
Samia siyo Rais wa Tanzania.Alipora uchaguzi.Hana kibali cha wananchi.Labda ni Rais wako pamoja na familia yako.
7654311.png
 
Naona waziri Hussein Mwinyi yupo na PM na senior Lukuvi hapo.

Mama aliwahi kuendesha kikao hicho enzi za JPM na Hussein akiwa kakaa pembeni ya PM hivyo yani.

Asipokuwepo Raisi, Makamu, WM, basi kikao kitaendeshwa na Lukuvi, Hussein akiendelea kukaa hapo hapo sio?

Zanzibar inaongozwa na raisi au waziri wa serikali ya JMT? Kikao hicho kinazungumzia mambo ya Muungano tu au hata na yale yasio ya muungano?

Kwanini kwenye bunge la JMT, ZNZ ingekuwa inawakilishwa na spika wa baraza lao pengine na makamu wa huko kwao?

Kwanin kwenye bunge la JMT kusingekuwa na session ya kujadili mambo ya muungano ambapo wawakilishi wa Znz wanakuwepo, session ikiisha wajikatae?

Hata sielewi, ndo mnasema tunatakiwa kupata Katiba nyingine ili niweze kuelewa?
yote ni kuwa na Zanzibar huru,
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom