Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,881
- 33,389
Samia ana maadui kwani nae ni dhalimu kama yule dikteta wenu?Mbona wanapokuwa nchi za watu huko ule ulinzi wa mikwara mingi unakuwa haupo ?!. Hivi kumbe maadui wa urais wetu ni wananchi wenyewe na si mabeberu ?!
Si mlikuwa mnasema Magufuli anajiwekea huo ulinzi sababu ni dikteta?