Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
19,414
2,000
Mbona wanapokuwa nchi za watu huko ule ulinzi wa mikwara mingi unakuwa haupo ?!. Hivi kumbe maadui wa urais wetu ni wananchi wenyewe na si mabeberu ?!
Samia ana maadui kwani nae ni dhalimu kama yule dikteta wenu?

Si mlikuwa mnasema Magufuli anajiwekea huo ulinzi sababu ni dikteta?
 
Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
1,889
2,000
Amekuta jiji liko safi kama huko aliko toka, sasa ile ratiba ya usafi ianze mara moja labda kukiwa kusafi hata kusafiri kwenda kuosha macho atapunguza.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,375
2,000
Samia ana maadui kwani nae ni dhalimu kama yule dikteta wenu?

Si mlikuwa mnasema Magufuli anajiwekea huo ulinzi sababu ni dikteta?
Mi nimeuliza tu. Mbona huko kwa wenye nchi zao hakuna ulinzi huo wa mikwara ?!. Sisi wakija hapa ulinzi mpaka wanapanda juu ya paa yetu ya ikulu.

Nauliza tu , ule tunafanyiwa wananchi na si mabeberu ?!
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
33,040
2,000
Mleta Thread Unakosaje Maneno Ya Amshamsha
Kama Haya
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atoa Hotuba Ya Kishindo
Haijapata Kutokea Popote
Mabeberu Wabaki Midomo Wazi
Tanzania Yapata Neema Kupitia Hotuba Ya Hangaya
 
MERCYCITY

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
988
1,000
Karibu mama nyumbani na nchi iko salama salimini. Hakuna mwenye fujo ila hili la kesi ya Mbowe na kuondoa wamachinga ndiyo gumzo la kila siku. Labda utaingilia kati kuleta usawa maana wewe ni mama mcha Mungu na mwenye kujali watu wako. Tangu uingie madarakani hatujasikia mtu kupotea ambalo ni jambo la kushukuru Mungu.
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
11,321
2,000
Ilitakiwa apande melikebu sio ndege. Ndege ni anasa

Watu wenye akili na busara hukosoa mambo ya kweli na sio mambo ya kufikirika!! Humu jamvini kuna mtu alituaminisha kuwa mama amekwenda huko Glasgow na DREALINER ya ATCL ambayo itamgoja at an exorbitand expenditure to the company mpaka hapo mkutano utakapokwisha!!!

Sasa leo nashangaa namuona mama Samia na Ujumbe wake wanarudi na EMIRATES; hiyo ndege ya ATCL mliosema ingemgoja na kumrudisha iko wapi? Ni vizuri kwa Taifa letu kama tutajifunza kuwa wakweli!!!
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,874

Good point.
 
Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
688
1,000
Mbona wanapokuwa nchi za watu huko ule ulinzi wa mikwara mingi unakuwa haupo ?!. Hivi kumbe maadui wa urais wetu ni wananchi wenyewe na si mabeberu ?!
wanatuaminisha mabeberu ni hatari sana lakini wakienda kwao wanaenda shopping bila msafara wa walinzi, wakiwa home wanafunga njia na mpaka vifaru vinawasindikiza 🤣,wanawaamini mabeberu kuliko sisi nafikiri
 
Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
688
1,000
Rais aachane na barakoa. Zinamuongezea ugumu wa kupata hewa unnecessarily. Wasaidizi wamshauri aachane nazo. Afya yake ni muhimu sana kuliko hivyo vitambaa puani. Wakubwa wote huko Glasgow hawakuwa na barakoa all the time kama Mama!Na hao ndiyo wenye corona yao! Cha kushangaza waTZ wengi hawajachanja na hawana barakoa!Waliochanja ndiyo wanaongoza kwa barakoa!
Hewa unnecessary, Dr maharage wa wapi wewe 🤣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom