nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Mwili wa mrehemu Jaffari ukipelekwa kuzikwa Juni 7, 2013 kwenye Makaburi ya Mwanakerenge, Bagamoyo, Pwani.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Koppa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumwewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Koppa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumwewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia na ndugu jamaa wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri kuu taifa CCM Hadija Koppa kufuatia kifo cha mumwewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Ahmed Kipozi na kulia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Ndugu Ridhwani Kikwete. (Picha, Maelezo: Freddy Maro)
Source: Previous Posts - wavuti.com