Picha: Rais Kikwete & Ridhwani Waampa pole Bi. Kopa; jeneza J.A. Yussuf lapambwa na bendera za CCM

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
985496711.JPG

Mwili wa mrehemu Jaffari ukipelekwa kuzikwa Juni 7, 2013 kwenye Makaburi ya Mwanakerenge, Bagamoyo, Pwani.

635316645.JPG

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Koppa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumwewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Koppa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumwewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.

101283012.JPG

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia na ndugu jamaa wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri kuu taifa CCM Hadija Koppa kufuatia kifo cha mumwewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Ahmed Kipozi na kulia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Ndugu Ridhwani Kikwete. (Picha, Maelezo: Freddy Maro)

Source: Previous Posts - wavuti.com
 
Ina Maana Marehemu Jaffari Ali Yussuf alikuwa anafanya kazi CCM au tu ni Mwanachama wa CCM?
 
Kwa sababu gani? Manake msiba unahuzunisha tu na huruma haiwepo kwa sana.
naona huruma alipokufa dakktari bingwa wa Moyo, sikuona Rais wetu hata akituma salam za rambirambi redioni, mtu ambaye alidiriki kuacha kazi nje ya nchi akarudi Tz kwa uzalendo ili aj asaidie watazania.

leo hii huyu kisa tu alikuwa diwan tena ambaye hana msaada wowote kwa taifa manake hata udiwan wake anachokipata ni kwa wanae tu, hana msaada kwa taifa kama taifa zaid ya kuwa msalaba wa kuhudumiwa kwa hela za wananchi leo hii amekufa raisi still anatumia pesa za wananchi kwenda kuhani msiba sijui kuzika kwann lkn??

hivi kingasti ukiwaza kodi ambayo Hadija Kopa na mumewe wanaingiza serikalini je inaweza hata kufikia nusu ya kodi aliyokuwa anakatwa huyu Dr Masalu/ masao kwa mwezi?? kwann hata tu kwasababu ya kodi yake basi asipewe heshima yake?? serikali ilimfrustrate had akafa na bado akazikwa kama vile ni mere person amefariki?? halafu huyu ambaye hta mtoto wa kijiji cha pili hamjui ndo Jk kaenda kumzika kwa kodi za wananchi.

sikatai kama anataka kuplay it fair basi akifa msanii, akazike like wise akifa mwanasiasa, mfanyabiashara, msomi na hata mkulima. kama anaona hawez anataka tu kuzika wasanii na wanasiasa tena wa ccm tu basi bora aache manake anatutia vidonda nafsini.
 
Last edited by a moderator:

Oh... Kama ni hivyo ni Sawa sikujua alikuwa na Madaraka yoyote ndani ya CCM... thanks!!!

hivi wafikiri kwa yy kuwa diwan ni sababu ya rais kwenda kumzika??
wanakufa madiwan wangapai wa ccm na haendi kuwazika wala hata kutuma salam a rambirambi??

je wafikiri nafasi ya udiwani tu inatosha kumfanya rais atumie kodi za wananchi kwenda kuzika?? mbo asifanye hivyo kwa watu ambao kodi tu wanazokatwa kweye mishahara yao kwa mwezi ndizo zinazoendesha nchi?? kwann hakufanya hivyo kwa Dr MASAO??
 
naona huruma alipokufa dakktari bingwa wa Moyo, sikuona Rais wetu hata akituma salam za rambirambi redioni, mtu ambaye alidiriki kuacha kazi nje ya nchi akarudi Tz kwa uzalendo ili aj asaidie watazania.

leo hii huyu kisa tu alikuwa diwan tena ambaye hana msaada wowote kwa taifa manake hata udiwan wake anachokipata ni kwa wanae tu, hana msaada kwa taifa kama taifa zaid ya kuwa msalaba wa kuhudumiwa kwa hela za wananchi leo hii amekufa raisi still anatumia pesa za wananchi kwenda kuhani msiba sijui kuzika kwann lkn??

hivi kingasti ukiwaza kodi ambayo Hadija Kopa na mumewe wanaingiza serikalini je inaweza hata kufikia nusu ya kodi aliyokuwa anakatwa huyu Dr Masalu/ masao kwa mwezi?? kwann hata tu kwasababu ya kodi yake basi asipewe heshima yake?? serikali ilimfrustrate had akafa na bado akazikwa kama vile ni mere person amefariki?? halafu huyu ambaye hta mtoto wa kijiji cha pili hamjui ndo Jk kaenda kumzika kwa kodi za wananchi.

sikatai kama anataka kuplay it fair basi akifa msanii, akazike like wise akifa mwanasiasa, mfanyabiashara, msomi na hata mkulima. kama anaona hawez anataka tu kuzika wasanii na wanasiasa tena wa ccm tu basi bora aache manake anatutia vidonda nafsini.
we naye!
mi nishawahi kuchungulia job description ya post ya urais!
..........................
NO 29.KUSHIRIKIANA NA WASANII KWA KILA HALI MAANA WAO NDIO WANAOKUWEKA MJINI!
(ufafanuzi,BILA WASANII WATU WATAKUGUNDUA NA KUKUMBUKA SHIDA ZAO)yeyote anayeshika nafasi hii NI LAZIMA!awe karibu na wasanii!

30.....................................................
 
hili la janeza la marehemu mh. Diwani kufunikwa kwa bendera ya chama cha mapinduzi ni geni
 
Back
Top Bottom