PICHA: Rais Kikwete katika taswira mbalimbali - Agosti 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Rais Kikwete katika taswira mbalimbali - Agosti 2012

Discussion in 'Jamii Photos' started by thatha, Aug 17, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Shughuli Mbalimbali Za JK.

  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo

  [​IMG]

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga​
   
 2. D

  Deofm JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hujaeleweka mkuu
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Hivi si kuna jukwaa la kutupia hizi picha, au hii ndo sehemu yake!
   
 4. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe mkuu ustaadhi safi sana!!!!
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Picha ni taarifa tosha kabisa kwa mtu mwenye akili timamu.mfano picha ya kwanza inaweza kumaanisha ukaribu na ushirikiano walio nao rais na makam wake,ya tatu manake rais anatekeleza misingi ya imani yake na ni muadilifu,hizi si maana rasmi lakini kwa ufupi picha inaongea.
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]u

  Macho ku- mchuzi, ustadhi kwa madem?
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Picha nzuri
   
 8. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,164
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kumbe Jk anakwenda kuhudhuria na si kushiriki mkutanoni! :p
   
Loading...