Picha: Rais kikwete katika kilele cha mkutano mkuu wa uwt dodoma leo oct/22/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Rais kikwete katika kilele cha mkutano mkuu wa uwt dodoma leo oct/22/2012

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 22, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=3][/h]  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
  [​IMG]
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
  [​IMG]
  Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT.
  [​IMG]
  Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere.
  [​IMG]
  Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hapo kodiyetu imeteketea vya kutosha.....
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naomba isiendelee kuitwa jumuiya ya wanawake Tanzania, tafadhali iitwe Jumuiya ya wanawake wenye magamba!!!
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280

  "Jumuiya ya wanawake wa magamba!!"
   
 5. Boko haram

  Boko haram JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,143
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  wacha kulalamika mwenye uwezo wakukutetea ni SHEIK FARID
   
 6. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hadi Machozi yamenitoka ,naililia PAYE yangu
   
 7. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wakuu hicho kiti alichokali Raisi kinanini? Mbona kila mahali anakuanacho?
   
 8. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umoja wa WANAWAKE WA CCM TANZANIA (UWCT)
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Raisi wetu Kikwete akiwa very serious aki discuss big issue ya kujenga taifa
   
 10. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Yaani hilo ndio ilikua jina sahihi baada ya mfumo wa vyama vingi!! great thinker!
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kijiwe cha mipasho cha magamba
   
Loading...