Picha: Rais Kikwete arejea toka Rwanda na Burundi

Hivi mheshimiwa na mke wake wameshindwa kabisa kutupatia japo zawadi ya mtoto mmoja wakiwa Ikulu? Au mambo yamekwamba kila idara?

hahahahahaha nyi ndo mana huwa mnatupwa Mabwepande, umentanua mbav sio siri, unandai like, saiz natumia cmu
 
View attachment 58016
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni
wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik.

View attachment 58017 View attachment 58018

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo

"iiii ivi mnafahamu kwa kwa kwamba mi nasafir sana........"
nimeinasa akiwa 7,7
 
hiyo ndege itakuja kudondoka siku moja!inshaala!
acha uchuro na uwendawezimu aisee, mbona una roho mbaya ivi, tutapambana kwenye vyama lakini uhai wa mtz mwenzetu awe ccm au chadema tutaulinda...unaombea ndege ya rais idondoke ili afe....we mjinga sana....dua la kuku halimpati mwewe hata hivyo.
 
Back
Top Bottom