Picha: Rais Kikwete arejea toka Rwanda na Burundi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Rais Kikwete arejea toka Rwanda na Burundi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Msanii, Jul 4, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  0L7C0173.jpg
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni
  wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik.

  0L7C0179.jpg 0L7C0188.jpg

  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo
   

  Attached Files:

 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimeshitushwa na huo utaratibu wa kupokelewa na viongozi wa kijeshi wa nchi. Yaani IGP na mkuu wa majeshi! What is going on? Ni kawaida au kuna jambo?
   
 3. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yan majeshi yote yalikuwepo kumlaki mh.rais kutoka safari zake za Rwanda na Burundi pale airport mbona inashangaza sana
   
 4. A

  ADK JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,149
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ni posho kwenda mbele
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hivi mheshimiwa na mke wake wameshindwa kabisa kutupatia japo zawadi ya mtoto mmoja wakiwa Ikulu? Au mambo yamekwama kila idara?
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Unashangaa si wameenda kumwambia kwamba madaktari tumesha wascrew we endeleza uvasco dagma sisi tupo tusipo wabana nyeti na koleo tutawachoma polonium halafu watanyamaza ,Hatuna Jeshi wala Polisi Mungu alinde nchi yetu
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dhaifu, mpenda safari na fisadi papa, anatakiwa akarabati Keko na Ukonga ili 2016 ndiko atakuwa anaishi bila ya kumsahau Kifisadi kidogo
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  Analindwa kana kwamba yuko vitani.


  [​IMG]
   
 9. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Huyo mwenye upara ni nani? Hongera JK kwa kutuwezesha watanzania kuondoa CCM madarakani 2015.
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi ni lazima hawa jamaa wakampokee?
   
 11. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Vasco kwa safari namvulia kofia.mbona uhuru wabongo washikaji hawakuja hata mmoja au walisusa ?
   
 12. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni kawaida sio Tanzania tu, Amiri Jeshi anaporudi anapokewa na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama, tena Tanzania ni afadhali kuna nchi kila siku asubuhi hupigiwa mizinga 21 kabla hajaingia ofisini.
   
 13. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kumbe vugu vugu zote zinazoendelea hapa Tz yeye anaona ni upuuzi , mbona hawezi kupriotise mambo huyu daktari wa kupewa
   
 14. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wakikupatia ndio mfumko wa bei utapungua? Utawasaidia kulea? Au ni raha kupost JF?
   
 15. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dah hiyo nchi mpaka watamaliza mizinga kwa mwaka mizinga 7350 dah kaza kweli
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hiyo ndege itakuja kudondoka siku moja!inshaala!
   
 17. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unamshauri afanye nini la maana akiwa Ikulu japo watanzania tumkumbuke akiisha ondoka, au bado unategemea huyu atashusha mfumuko wa bei?
   
 18. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mwendawazimu flani wa Milembe alipanda juu mti wa
  mwembe asubuhi sana, akakaa mtini hadi kitu saa
  kumi. Njaa ikamkaba mpaka penyewe...mara...chali
  akadondoka chini kutoka kwenye mti. Daktari akaja
  akamwuliza: Nini kinaendelea, kulikoni?
  Mwendawazimu akamjibu: wala usijali sana hata mi nashangaa au ndo kusema"NIMEIVA!"?
   
 19. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  dhaifu bwana! wakati wa tumethubutu,tumeweza na kusonga mbele wenzie walituma mawaziri wa mambo ya nje,yeye kiguu na njia kila siku kwa jirani! jamaa anpenda per diem huyoo toka enzi zile tuko foreign affairs
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160  Safari zote hizi zisizoisha kila anapoondoka na kurudi lazima hili zulia litandikwe? Mbona marais wengine hawafanyi hivi? Zulia hutandikwa katika tukio la kupolekewa kiongozi fulani anayekuja kufanya ziara ya kiserikali kuonyesha kumjali, sasa hili la mwenye nyumba kila anaporudi nyumbani kupigiwa mizinga imekaaje? Hii ni dalili tosha ya watumishi wengi wa umma kujenga dhana ya kujipendekeza kwa Rais.

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Naona Saidi Mwema anavyojitahidi kujionyeshaonyesha na kujisogeza kkuwa mpambe wa kikwete badala ya kuwatuma wapambe kumpamba kikwete.
  Tanzania kiongozi anaposafiri na kurudi msululu wa magari na watumishi mbalimbali kwenda uwanja wa ndege kupokea, sijui hulipwa posho kwa hili au kujipendekeza tu kwani si kitu cha kawaida watu kuacha kazi hata kama ni baada ya kazi,
   
Loading...