Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Feb 4, 2013.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  Rais Jakaya Kikwete leo amefanya ziara ya siku moja mkoani Kigoma na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
  Rais Kikwete alitembelea daraja hilo na kuzungumza na wananchi wa eneo jirani na daraja hilo na kuwataka walitumie vyemka katika kuwaletea maendeleo ikiwa ni pamoja na kutumia ardhi yao kwa kilimo na si kuiuza kwa watu wengine.
  Kikwete amewaambia wakazi hao kuwa wasikubali kulubuniwa na wageni wanaokuja kama wawekezaji na kununua maelfu ya hekta za ardhi yao.


  Picha na Father Kidevu Blog  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Uvinza mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kwenda kukagua ujenzi wa daraja la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani humo leo mchana
  [​IMG]
  Wananchi na wafanyakazi wa kampuni ya Hanil Engeneering ya Korea wakimsubiri Rais Kikwete kwenye ifisi ya mradi wa ujenzi wa barabara hiyo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Waziri wa Kilimo na Chakula Injinia Christopher Chiza baada ya kuwasili kwenye Ofisi za mradi wa ujenzi wa Daraja la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Danih Makanga
  [​IMG]
  Rais Kikwete akiwasalimia wafanyakazi wa kampuni ya Hanil ya Korea. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Khadija Nyembo na wapili ni DC wa Kasulu Danih Makanga.
  [​IMG]
  Meneja Mradi wa Ujenzi dsaraja la Kikwete katika mto Maragarasi mkoani Kigoma, Crispinas Ako (aliyevyoosha mkono) akimpatia maelezo Rais Jakaya Kikwete kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea leo
  [​IMG]
  Daraja linalotumiwa na treni kwenye mto Maragarasi ambako pembeni yake ndiko linalojengwa litakalotumiwa na magari kutoka Tabora kwenda Kigoma
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akikagua ujenzi wa darala la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma leo.
  [​IMG]
  Msafara wa Rais Kikwete ukipita kwenye darala la Kikwete ambalo ujenzi wake unaedelea kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma
  [​IMG]
  Rais Kikwete akizungumza na wananchi wa Maragalasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Kikwete katika mto Maragalasi leo.

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kuna MKAPA BRIDGE; HILI ni KIKWETE BRIDGE... Anajenga 3; Yatakuwa na MAJINA GANI???
  SIONA NYERERE na MWINYI wakijipa MAJINA MAJENGO au MADARAJA MUHIMU... Kuna MKAPA BUILDING

  Nyerere alipata baada ya KUFARIKI na hiyo NDIO NCHI NYINGI wanavyofanya; Ukiondoa KENYA UH LALA !!!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa wenye mabango mabango yao yameandikwaje?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 4, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,445
  Likes Received: 30,506
  Trophy Points: 280
  Hivi huyo mjeshi kazi yake hasa ni ipi? Kumlinda rais au?

  Manake hapo kasimama utadhani mlinzi vile...
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Naona NI MALALAMISHI YAO DHIDI YA HIYO BARABARA; Hakuna MWANDISHI MPENZI wa CCM aliyewapiga PICHA hao WANANCHI kwa UKARIBU na KUSOMA HIVYO VIPEPERUSHI...

  DEMOCRACY in the HIGHEST STAGE --- is DECTATORSHIP!!!
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Yeye HUWA SIO MLINZI wa RAIS ni MSAIDIZI wa RAIS kwa MASUALA ya ULINZI ni Kama wa US HUWA ana OFISA wa JESHI MWENYE BRIEFCASE YENYE BUTTON's KUASHIRIA KUTUMIA NUCLEA BOMB; Sasa HUYU wa KWETU ana VIKARATASI vya KUASHIRIA JESHI KUTUMIKA kama RAIS HAYUKO DAR... TUNAITA MPAMBE... lakini SIO PRESIDENT BODYGUARD
  Lakini SEHEMU NYINGINE anatumika KUGUSHI sababu ya MAGWANDA!!!!
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2013
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,374
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Yeye na Pinda wameuza hekta ngapi mpaka sasa? Oooh Nilisahau kuwa kiwanda cha uongo kipo Magogoni
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Feb 4, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,445
  Likes Received: 30,506
  Trophy Points: 280
  Wa Marekani huwa simuoni kila sehemu kama huyu wa CCM
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  America wana system TOFAUTI ya SECURED PROTOCOL Sisi na ni NCHI NYINGI za KIAFRIKA zinafuata bado the OLD COLONIAL SYSTEM ya MAIN SECURITY OFFICER anavaa KIJESHI ILI Wakiwa Safarini NJE ya NCHI hawapatiwi USUMBUFU kama KUVAA KIRAIA; USA wao Wanavaa KIRAIA Wanakuwa kama DIPLOMATIC BAG HOLDERS...

  Na Unajua ENTOURAGE zao za RAIS wa US ni kama watu 100 au zaidi wanasafiri nae sio sisi WAAFRIKA tukiwa na 20 BAJETI YOOOTE YA SERIKALI inakuwa IMELIWA KUWATUNZA HAO WAJAMAA
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2013
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,374
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ni kupeana ulaji mkuu, huu ni ufisadi mwengine wa kipuuzi wa kutafuna tax zetu. Au kwa namna nyingi amekuwa mke kila sehemu anapokuwa fastjet lazima na yeye awepo hata chooni nafikiri wanaingia pamoja na kulala pamoja kwa ufupi ni mapacha
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Feb 4, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,445
  Likes Received: 30,506
  Trophy Points: 280
  Sasa huyo mjeda wa Kikwete anabeba silaha na yeye?
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Yeye ni DOCUMENTATIONS... Rais akiwa NJE ya Dar na kuna MATATIZO na ANAHITAJI JESHI -- HUYO JAMAA NDIO ANARUHUSA YA KUPIGA HOT LINE KWA MKUU WA MAJESHI; Nadhani MTWARA JWTZ walikwenda MITAANI KUTULIZA HALI kama SIKOSEI; RAIS alikuwa NJE ya NCHI -- ILE TRIP ya UFARANSA; USWIS kwahiyo aliyewasiliana na JWTZ alikuwa ni HUYO JAMAA na kupeleka DIRECTIVES to MKUU WA MAJESHI GENERAL Whatever...
   
 13. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2013
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,713
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  Dah! mie nimewapenda hao wanafunzi full yeboyebo
   
 14. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,927
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kiranga .. bila shaka yatakuwa ni mabango ya kumpongeza na kumsifia! ... alafu inaonekana kama imekuwa staged ...

  Mabango yote yanafanana ukubwa, wino, maandishi (muandiko) as if yameandikwa na watu wa Ikulu na hao jamaa (wananchi) waliochoka wakakabidhiwa ili wayaonyeshe! .. ionekane kuwa hata watu wa chini wanamuunga mkono! ... pathetic!

  Waliobeba mabango hawajui hata kilichoandikwa humo! ... mabango yote yameandikwa na mtu mmoja!, Maka peni Moja! Mwandiko mmoja!


  [​IMG]
   
 15. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,927
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Compare & Contrast

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  Siyo protest?

  Utajuaje bila kusoma?
   
 17. Doppelganger

  Doppelganger JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kuna wakati rais anapaswa atofautishe ziara za kichama na zile zigusazo maendeleo kwa jumla...ni mradi wa maendeleo wa taifa na si chama...
   
 18. g

  good2015 JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2013
  Joined: Feb 4, 2013
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  they will never see. and still pretending Kikwete hajafanya lolote. Akili za kushikiwa.
   
 19. d

  diwan JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wananchi wasiuze ardh ipi? Uvinza hasa lukufu ndio maeneo mazuri kwa kilimo yeye Mh na mkewe wanamiliki maeneo hapo. Inawezekana hata hyo ziara nia yake ilikuwa kuona mashamba yake.
   
 20. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2013
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,268
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  daraja limetulia
   
Loading...