Picha: Rais Kagame akimuendesha Rais Samia kuelekea uwanja wa ndege

Crap
Rais Msikivu mh.SSH akiwa na MWAMBA WA MEDANI ZA KIUONGOZI El comandante mh.Paul Kagame......

#Iam Proud to be Tanzanian
#Tanzania Is A shock absorber of the great lake nations

#SiemprePeacefuAndProsperousTanzania
#SiempreRaisMsikivuMh.SSH
 
No baada ya kufuzu kozi ya udikteta toka kwa mkufunzj mkuu .

Tushuhudie yafutayo

1.Mbowe kuendelea kuwekwa ndanj kwa makosa ya kubambikiza.

2. Chadema kuvamiwa hadi mikutano ya ndani wakati ccm wanafanya Hadi ya hadharani.

3.ukamataji ,uaji wa watu ,kupotea kwa watu

4. Kodi za ovyo ovyo.

Aiseee naihurumka.hii nchi
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimwendesha mgeni wake, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Kigali Rwanda alikokuwa kwenye ziara ya siku mbili. Rais Samia amerejea Tanzania leo Jumanne.

Naona huu uswahiba utatusaidia Sana CCM maana kagame anambinu za medani na busara

USSR
Mtatuua Sana LAKINI kamwe hamtoweza kuua upinzani
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimwendesha mgeni wake, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Kigali Rwanda alikokuwa kwenye ziara ya siku mbili. Rais Samia amerejea Tanzania leo Jumanne.

Naona huu uswahiba utatusaidia Sana CCM maana kagame anambinu za medani na busara

USSR
Na sisi tutampa supprise akija
 
Kweli? Kuna video yake? Picha?

1628039801009.jpeg
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimwendesha mgeni wake, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Kigali Rwanda alikokuwa kwenye ziara ya siku mbili. Rais Samia amerejea Tanzania leo Jumanne.

Naona huu uswahiba utatusaidia Sana CCM maana kagame anambinu za medani na busara

USSR
Huyu Mwamba Kagame anaona mbali sana,anafanya vitu tofauti sana,na mazoea
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimwendesha mgeni wake, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Kigali Rwanda alikokuwa kwenye ziara ya siku mbili. Rais Samia amerejea Tanzania leo Jumanne.

Naona huu uswahiba utatusaidia Sana CCM maana kagame anambinu za medani na busara

Ujinga uliopitiliza ni kudhani courtesy ya bwana PK kendesha gari mwenyewe ilitolewa kwa SSH peke yake.

😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom