Picha: Rais Kagame akimuendesha Rais Samia kuelekea uwanja wa ndege

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimwendesha mgeni wake, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Kigali Rwanda alikokuwa kwenye ziara ya siku mbili. Rais Samia amerejea Tanzania leo Jumanne.

Naona huu uswahiba utatusaidia Sana CCM maana kagame anambinu za medani na busara

Kagame.jpg

FE90F56C-0505-48D5-BDD7-0689F29F87CF.jpeg
 
Kuna uzi amenitukania mama yangu huyo Mbulukenge! Nimemlipizia ili na yeye ajisikilizie. Na kama ataendeleza matusi, basi na mimi niko tayari.
Unajuwa, ukiwa unaoga kwenye bafu la passport size, umening'iniza nguo zako kwenye ukuta wa bafu, nusu zipo nje na nusu ndani. Akija kichaa akazichukua nguo hizo na kutoka nazo mbio, nawe huku ukiwa uchi na mapovu ukaanza kumkimbiza, unadhani nani ataonekana kuwa ni kichaa zaidi? Huyu kichaa wa siku zote anayejulikana, ataonekana ana afadhari, maana angalau kakumbuka kuvaa nguo..!! WEWE JE?
 
Back
Top Bottom