View attachment 711480Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa kidini kutoka mkoani Singida mara baada ya kufungua Kiwanda cha usindikaji wa Alizeti leo hii Machi 11, 2018.
Tubu wewe kwanza ambaye ubongo wako unakuwa na mawazo chanya.Tunataka Atubu sio kuombewa
Swissme
Mbona unajitukana!!!Kuna Msemo sikio LA kifo halisikii dawa, huyu Rais tuliyenaye ht Yesu angekuwepo nyakati hizi angemwambia asimpangie cha kufanya. Utawala wake, hajui ugawanaji wa majukumu mpk matawi ya bank anaenda kuzindua. MBNA hatukuwahi kusikia JK akifungua tawi LA bank tena CRDB