Picha: Rais Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini baada kufungua Kiwanda cha Alizeti

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
IMG_20180311_175309_107.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa kidini kutoka mkoani Singida mara baada ya kufungua Kiwanda cha usindikaji wa Alizeti leo hii Machi 11, 2018.
 
Kuna Msemo sikio LA kifo halisikii dawa, huyu Rais tuliyenaye ht Yesu angekuwepo nyakati hizi angemwambia asimpangie cha kufanya. Utawala wake, hajui ugawanaji wa majukumu mpk matawi ya bank anaenda kuzindua. MBNA hatukuwahi kusikia JK akifungua tawi LA bank tena CRDB
 
maombi haya yanaweza yakafanya kazi siku moja... maana hujui wanao omba ni kwa faida gani... ubadilike au uendelee kuwa hivyo ulivyo nk...
 
Nothing else we need to see the development to Every one not the development to the central government. waboreshee watumishi wa umma wote nchi nzima haki zao pamoja na kuwaongezea mishahara na wafanyabiashara wasibugudhiwe katika ulipaji kodi ustaarabu utumike
 
Tunataka Atubu sio kuombewa

Swissme
Tubu wewe kwanza ambaye ubongo wako unakuwa na mawazo chanya.

Kuna watu humu wanajifanya wajuaji sana, kuhusu uongozi na utawala, wakati hata ujumbe wa mtaa/kitongoji hawawezi au familia zao zinawashinda!
 
Kuna Msemo sikio LA kifo halisikii dawa, huyu Rais tuliyenaye ht Yesu angekuwepo nyakati hizi angemwambia asimpangie cha kufanya. Utawala wake, hajui ugawanaji wa majukumu mpk matawi ya bank anaenda kuzindua. MBNA hatukuwahi kusikia JK akifungua tawi LA bank tena CRDB
Mbona unajitukana!!!
 
Back
Top Bottom