Picha: Rais Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini baada kufungua Kiwanda cha Alizeti

Mbona jamaa anazindua viwanda vilivyokwepo kitambo.... Basi azindue na hiki chetu huku arusha AtoZ textile
 
Kuna manabii wana mapepo wasije wakamwabukiza Rais wetu. Wamwombee lakini asiwe anakubali kushikwa kichwani.
 
Imefikia hatua hii.......mbona mapema mno. Sikumbuki baba wa taifa na waliomfuatia kupitia zoezi hili.
 
Hao viongozi wanakuwa wamekaguliwa na watu wa usalama au wamewaamini tu kwa kuwa ni vingozi wa dini?!!!!!
 
Mbona mkuu anapenda kuombewa sana...anaogopa nn..ni kama vile ana hofu au inferiority complex....mbona wengine walikua hawaombewi kwa spid hii?
 
Back
Top Bottom