polisi wanacheza na moto wanaoupalilia hapa.
Si uyaanzishe ww?? Watu wanalilia amani wee unawaza vita??shame kwakoNatamani maandamano ya nchi Zima kwa sasa sijui kwa nini viongozi wangu hawayaitishi maana tunayahitaji wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ule
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Umenena kweli kabisa,JK ndiye mratibu mkuu,wa matukio yote ya unyama yanayotokea hspa nchini.Polisi ni kama mbwa tu wanaoamrishwa kuuma!!! Mwenye mbwa ndiye anayefahamu kisa na mkasa wa mbwa wake kuuma! Mwenye mbwa yupo... Kikwete ndiye mratibu wa shughuli zote za mabomu makanisani na katika mikutano ya kisiasa pamoja na mauaji na utesaji unaoendelea sasa katika Tanzania!!!
Hujasikia hapo juu jamaa alikua anatoka zake kazini wakataka kumlenga kama mnyama-pori. Haijalishi unaandamana au huandamani you will fall victim of policcm. Hawa jamaa ni kama wehu and someone has to stop them and put them down to their knees. Kama unachagua kufa bila kelele waache wanaotaka kufanya kitu/Si uyaanzishe ww?? Watu wanalilia amani wee unawaza vita??shame kwako
Umenena kweli kabisa,JK ndiye mratibu mkuu,wa matukio yote ya unyama yanayotokea hspa nchini.
Lakini JK anapaswa kutafakari mfano mmoja mkubwa,Hosni Mubarak wa Misti,naye miaka michache tu iliyopita,naye alikuwa Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini Misri,naye kama JK,alikuwa akitumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu,kuviamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama,kuwaua waandamanaji wowote,ambao watakataa amri ya kutoandamana,kutokana na hali hiyo,waMisri kwa maelfu waliuawa.
Kwa sasa kila mtu anajua kuwa Hosni Mubarak,anaozea jela,na kwa kuwa mzee Fast Jet,ni bingwa wa kufanya ziara nchi mbali mbali,ni vyema wanaoratibu safari zake,wakampangia safari ijayo,atembelee Misri,ili azuru gereza alilofungwa Hosni Mubarak na amuulize,ilikuwaje pamoja na kuwa na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo amekubali kulundikwa "Segerea" ya huko?!!
Jibu ambalo naamini atampa ni kuwa,hakuna binadamu yeyote anayeweza kuibadilisha historia,ambayo inasema,tokea dunia iumbwe hakujawahi kutokea mtawala yeyote,hata kama ana vyombo vya ulinzi na usalama mahiri kiasi gani,ambavyo vimewahi kushinda people"s power!!
Vyombo vya ulinzi na usalama navyo vinapaswa kutumia akili za mbayumbayu,wachanganye zao wenyewe na za kuambiwa na Amiri jeshi wao mkuu.
Hebu wajiulize tu kitu kimoja,hata kama taratibu za kijeshi zinawataka kutii amri bila shuruti,watafakari kuwa amri hizo za maboss wao wanazozitii,zinaweza kuleta maangamizi makubwa sana kwa Taifa hili,na watambue pia kuwa miongoni ya wahanga hao wataksokufa kutokana na machafuko hayo watakuwemo,watoto wao,wake zao,baba zao,mama zao,shangazi zao,wajomba zao na shemeji zao.
Sasa wanachopaswa kwa sasa ni kuweka kwenye mizani,hivi ni kweli maisha ya JK yana thamani zaidi ya watanzania wengine milioni 45?!!
Nawaomba makamanda wetu wa vikosi vya ulinzi na usalama,mlitafakari kwa makini sana suala hili,na naamini jawabu muafaka mtalipata.