PICHA: Polisi kanda maalum Tarime yafikia ngazi ya juu kabisa ya unyama (IGP usisubiri vita)

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
baada ya kuuwa kwa kiwango cha watu 8-10 kwa mwaka,achilia mbali kujeruhi na vilema mbalimbali kwa risasi sasa polisi kanda maalum tarime na rorya chini ya RPC KAMUGISHA wamefikia kiwango cha juu cha uhalifu baada ya sasa kuchoma mji wa bwana...CHACHA MARIBA (40) mkazi wa kijiji cha nyamwaga TARIME ,

tukio hili lilitokea tarehe 24 nov 2012 majira ya saa1jioni baada ya mshituko mkubwa kuingia katika familia hii yenye akina mama wawili na watoto wasiopungua wanane kuchomewa mji kwa bomu lililorushwa na polisi wa (jeshi la polisi tanzania) waliojikabidhi kazi ya kulinda mwekezaji tukio hili limezua simanzi kubwa kwa familia hii licha ya kukoswa makazi sasa pia hata hali ya kiafya ya watoto wadogo sio nzuri huku mama mzazi mwenye mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja akiwa katika hali mbaya saana

OMBI LAO
pamoja na serikali kutojali ila wanaomba kama wao hawastahili kuishi hapo wahamishwe kwa amani kuliko hali wanayoachiwa bila sababu kwa sababu tu ya kuwa karibu na mgodi! huo wa AFRICAN GOLD MINE WA NORTH MARA MINE

View attachment 72743

View attachment 72744

View attachment 72746

View attachment 72745

View attachment 72749

View attachment 72750
 
Hao polisi vichwa maji kweli, inatia uchungu kuona mwananchi akipata shida kwa ajili ya wapuuzi kama hawa ambao hawajui kazi yao ni kulinda amani ya raia wake na mali zao, kwao mwekezaji ana thamani kubwa zaidi....stupidy sana
 
Duh pole yao ila lazima watii sheria ya nchi kama mwekezaji ameona hapo ndo kuna madini lazima waondoke ili serikali iweze kupata mapato kupitia kwa mwekezaji huyo hivyo polisi hawana kosa lolote.
 
wewe lazima utakua mtoto wa S.Kova.
 
Duh pole yao ila lazima
watii sheria ya nchi kama mwekezaji ameona hapo ndo kuna madini lazima
waondoke ili serikali iweze kupata mapato kupitia kwa mwekezaji huyo
hivyo polisi hawana kosa lolote.

wewe huna wazazi ndiyomaana unaongea utumbo utumbo.
 
Serikali ipo acha ifanye kazi yake sio kulalamika tu, kama ameonewa vyombo vya sheria vipo na yule wakili maarufu lissu yupo atawasaidia kupata haki yao.
 
Aluta continua jeshi la polisi hadi wazee wa vichuli watambue kuwa serikali ipo. Wakurya ni wakatili jamani, nyie acheni tu. Mkurya hastahili kuhurumiwa hata ni kidogo ni majitu makatili mpaka basi. Ningekuwa rais ningewaruhusu wawe upande wa Kenya maana hii mijitu ina tabia za kikenyakenya tu aaaaaagh!
 
Duh pole yao ila lazima watii sheria ya nchi kama mwekezaji ameona hapo ndo kuna madini lazima waondoke ili serikali iweze kupata mapato kupitia kwa mwekezaji huyo hivyo polisi hawana kosa lolote.

Nimekosa tusi lakukupatia
 
Hiyo nayo ni nyumba?
Hao jamaa wameambukizwa utindio wa ubongo. Wanaweza ambiwa tukupe mil 400 muhame, wanakataa, wanataka mabilion na mishahara ya bure kila mwezi wakiani chini ya vichuguu vyao kuna tons of Au.
Kumbe mwekezaji anataka usalama wake na wao pia.
 
Wewe Mjenga sio tu mjinga bali pia Taila mkubwa, kama hauna cha kuchangia bora tu ufunuke akili yako mbovu kuliko kulopoka jambo usilolijua. imagine wangekuwa wazazi wako wamechomewa nyumba kama hivyo ungefungua Bongo lako chafu kuchangia utumbo huo. Hata kama huna akili jaribu kujifanya kama vile una kaakili kidogo.
 
Duh pole yao ila lazima watii sheria ya nchi kama mwekezaji ameona hapo ndo kuna madini lazima waondoke ili serikali iweze kupata mapato kupitia kwa mwekezaji huyo hivyo polisi hawana kosa lolote.

Mapato gani serikali inapata wakati kinywaji cha chibuku kinaizidi migodi ya barrick kwenye kulipa kodi kwa mwaka.
 
Duh pole yao ila lazima watii sheria ya nchi kama mwekezaji ameona hapo ndo kuna madini lazima waondoke ili serikali iweze kupata mapato kupitia kwa mwekezaji huyo hivyo polisi hawana kosa lolote.

serikali ipate mapato au viongozi wapate mapato? kama ni serikali si kuna utaratibu wa kuwahamisha raia? serikali imefata huo utaratibu? hii force inayotumika inashawishi kabisa kuona ni maslahi ya watu binafsi yanapiganiwa hapa na wala sio ya serikali. serikali inataka wananchi waliozaliwa na kuishi karibu na hizi natural resources wakimbie wenyewe bila kuambiwa? waende wapi? uroho utamaliza amani ya watanzania jamani, haya tuendelee tu, tutaona tutakakoishia.
 
Aluta continua jeshi la polisi hadi wazee wa vichuli watambue kuwa serikali ipo. Wakurya ni wakatili jamani, nyie acheni tu. Mkurya hastahili kuhurumiwa hata ni kidogo ni majitu makatili mpaka basi. Ningekuwa rais ningewaruhusu wawe upande wa Kenya maana hii mijitu ina tabia za kikenyakenya tu aaaaaagh!

Mbona mme wako ni mkurya?
 
baada ya kuuwa kwa kiwango cha watu 8-10 kwa mwaka,achilia mbali kujeruhi na vilema mbalimbali kwa risasi sasa polisi kanda maalum tarime na rorya chini ya RPC KAMUGISHA wamefikia kiwango cha juu cha uhalifu baada ya sasa kuchoma mji wa bwana...CHACHA MARIBA (40) mkazi wa kijiji cha nyamwaga TARIME ,

tukio hili lilitokea tarehe 24 nov 2012 majira ya saa1jioni baada ya mshituko mkubwa kuingia katika familia hii yenye akina mama wawili na watoto wasiopungua wanane kuchomewa mji kwa bomu lililorushwa na polisi wa (jeshi la polisi tanzania) waliojikabidhi kazi ya kulinda mwekezaji tukio hili limezua simanzi kubwa kwa familia hii licha ya kukoswa makazi sasa pia hata hali ya kiafya ya watoto wadogo sio nzuri huku mama mzazi mwenye mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja akiwa katika hali mbaya saana

OMBI LAO
pamoja na serikali kutojali ila wanaomba kama wao hawastahili kuishi hapo wahamishwe kwa amani kuliko hali wanayoachiwa bila sababu kwa sababu tu ya kuwa karibu na mgodi! huo wa AFRICAN GOLD MINE WA NORTH MARA MINE

View attachment 72743

View attachment 72744

View attachment 72746

View attachment 72745

View attachment 72749

View attachment 72750

Wakurya sikuzi mmekuwa "kondoo" wapole? Ujeshi wwenu umeenda wapi? UENI Polisi wengi iwezekanavyo wanaowanyanyasa kwenye ardhi yenu
 
Aluta continua jeshi la polisi hadi wazee wa vichuli watambue kuwa serikali ipo. Wakurya ni wakatili jamani, nyie acheni tu. Mkurya hastahili kuhurumiwa hata ni kidogo ni majitu makatili mpaka basi. Ningekuwa rais ningewaruhusu wawe upande wa Kenya maana hii mijitu ina tabia za kikenyakenya tu aaaaaagh!

Adhabu ya mkatili ambae hajafanya ukatili ni kuchomewa nyumba sio wewe kiazi ni sheria za nchi gani unayoishi ya kusadikika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom