USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
baada ya kuuwa kwa kiwango cha watu 8-10 kwa mwaka,achilia mbali kujeruhi na vilema mbalimbali kwa risasi sasa polisi kanda maalum tarime na rorya chini ya RPC KAMUGISHA wamefikia kiwango cha juu cha uhalifu baada ya sasa kuchoma mji wa bwana...CHACHA MARIBA (40) mkazi wa kijiji cha nyamwaga TARIME ,
tukio hili lilitokea tarehe 24 nov 2012 majira ya saa1jioni baada ya mshituko mkubwa kuingia katika familia hii yenye akina mama wawili na watoto wasiopungua wanane kuchomewa mji kwa bomu lililorushwa na polisi wa (jeshi la polisi tanzania) waliojikabidhi kazi ya kulinda mwekezaji tukio hili limezua simanzi kubwa kwa familia hii licha ya kukoswa makazi sasa pia hata hali ya kiafya ya watoto wadogo sio nzuri huku mama mzazi mwenye mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja akiwa katika hali mbaya saana
OMBI LAO
pamoja na serikali kutojali ila wanaomba kama wao hawastahili kuishi hapo wahamishwe kwa amani kuliko hali wanayoachiwa bila sababu kwa sababu tu ya kuwa karibu na mgodi! huo wa AFRICAN GOLD MINE WA NORTH MARA MINE
View attachment 72743
View attachment 72744
View attachment 72746
View attachment 72745
View attachment 72749
View attachment 72750