Picha: Pinda amtembelea NASARI na NAMELOK hospitali Arusha; Lowassa pichani yasemekana akimbia pigo

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3]MTOTO WA MKULIMA MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI WABUNGE WA CHADEMA NASARI, NAMELOK HOSPITALINI ARUSHA.[/h]


[h=3][/h]
IMG_1435.jpg
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoinine aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


















5.jpg



[h=3]HII NI TASWIRA YA VURUGU ZA ARUSHA BAADA YA POLISI KUWATAWANYA WANANCHI ENEO LA SOWETO HALI ILIKUWA HIVI.[/h]

P1050618.JPG
ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI.
ARUSHA1.jpg
VIZUIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VUR
UGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.

ARUSHA1.jpg
VIZIWIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VURUGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.
ARUSHA2.jpg
MOTO UKIWA UNAWAKA KATIKATI YA BARABARA WAKATI WA VURUGU HIZO
1017202_524497047598428_1754456370_n.jpg
WASAMALIA WEMA WAKIMSAIDIA MTOTO BAADA YA KUTOKA VURUGU HUKU NYUMA YAO KUKIWA NA KUNDI KUBWA LA ASKARI.
1002067_295847990552208_1514947724_n.jpg
Sehemu ya umati wa waombolezaji wa wahanga wa mlipuko wa bomu wakiwa katika viwanja vya Soweto mjini Arusha wakiwa kwenye maombolezo muda mfupi kabla ya polisi kuwatawanya na kuwapiga mabomu ambapo inadaiwa kuwa watu wawili wamepoteza maisha na majeruhi wasiojulikana huku wabunge wawili wakidaiwa kushikiliwa na jeshi la polisi akiwemo Mh Tindu Lissu na Mh Mustapha Akoonay kutokana na vurugu hizo.
tundu%2Blissu.jpg
MHE TUNDU LISSU HII NI PICHA YA MAKTAABA .


[h=3] EDWARD LOSSAWA ANUSURIKA KUUAWA.[/h]

Waziri+mkuu+msitaafu+Mhe.+Edward+Lowasa+akiongoa+na+watoto+yatima+na+wale+waishio+katika+mazingira+magumu+Mikwambe+Dar+es+Salaam.+Picha+na+Ismail+Mang%27ola.+%2888%29.jpg

WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA.WW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM



 
Ina maana hadi waziri mkuu anayembelea majeruhi spika na naibu spika hawajui kama kuna wabunge waliolazwa hospitalini? Huyu mama ana roho mbaya komesha. Yaani ni shabiki wa chama kiasi hicho? Walau hata angejinafikisha. Si mbunge wake anaumwa bhana? Sasa anashindwaje kumpa pole. Ukistaajabia ya Musa ...

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Amani imetoweka! No difference btn Tanzania and Syria

Ni Kikwete na kundi lake kudai AMANI ni MABABU zake walileta akaamua kutoangalia MISINGI gani NYERERE akuutumia ili kufurahisa upande mmoja wa wapiga kura ambao wanadhani Nyerere aliwanyima ELIMU zaidi ya WAKOLONI

Inasikitisha this is what goes around comes around
 
Kikwete una boa sana kuvumilia wavuta Bhangi mpaka wanavunja Amani, tangu umeingia U Amiri Jeshi wako tunauoana kwenye kuKagua Gwaride na kugawa Nishani kwa wanajeshi, Onesha nguvu ulizopewa na Katiba, Mkapa alipo Beep kwa Katibu mtendaj wa Chama Mzee Kolimba na Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa Mzee Imran Kombe akina Mrema walijua jamaa yupo Serious hatanii!
 
Ebu fungukeni. Amekosa nini rais mtarajiwa?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nami najiuliza ni kwanini , tusubiri anaejua atujuze maana nimeona hapo juu ya picha yake kuna hilo la kutaka kuuawa, nimebaki na maswali mengi kuliko majibu.
 
Mie sijacomment Chochote mpaka Muda huu tokea majuzi, naona watu wamejiandaa kung'oa post Za baadhi yetu.. Hatuweki petrol Kwenye Moto, moto wenyewe umeshajichochea Hata ukiweka petrol ni kuizima kasi yake isiyodhibitika..

Ukiona raia ameshika Jiwe, anakimbiza GARI la Polisi lenye Askari wanne outshoot, wawili wana Silaha Za kutupia mabom ya machozi na wawili wana MSG flat-on, na raia haogopi analikimbiza tu GARI huku akitukana Na GARI linamkimbia sipati Picha raia huyu akipewa Silaha atafanyaje...! Ushenzi wa UONGOZI Wa Nchi hii Kwa sasa Umetudumbukiza hapa..si rahisi Jiwe likabaki juu ya Jiwe..!! ALUTA.. Embu nikae kimya kwanza..ila nasema CCM Na Watoto wa Vigogo mko tayari kuona Damu zisizo na Hatia zinamwagika kuliko kuachia Demokrasia ichukue mkondo wake..
 
Na huyo Namelo alinjukia mguu huko Makuyuni au? Maana alikuwa LOWASA TEAM
 
Sijapata kuona makamanda wazembe kama hao waliomkosa Lowassa, pamoja na uzee na ugonjwa wanamkosa vipi? Je ingekuwa wanatakiwa wamsurubishe kamanda kijana kama kama Nassari si wangeishia kuona upepo tu¿
 
Back
Top Bottom