Picha: Parachichi za Tanzania huko ng'ambo, wakenya mtajijuu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,899
9,736
Kitu Hass parachichi tamu ya peke ndogo na njano inayozalishwa Mbeya,Njombe,Kilimanjaro,Kagera, Iringa nk inapeta tu.

Wakenya hata uchumi tumewazidi; sema wanajua propaganda kutuzidi ila Kenya hakuna kitu mule!

IMG-20200804-WA0013.jpg
IMG-20200804-WA0010.jpg
 
Binafsi ningependa kuona fedha, nione tumeingiza shilingi ngapi kama Taifa kwa kuuza maparachichi yetu huko, hizo picha zina mengi lkn ni vizuri Serikali yetu wangekuwa wanasema tumeuza Maparachichi kiasi kadhaa nchi xyz na tumepata kiasi kadhaa, vinginevyo hakuna tofauti na kuwekewa picha za akina Bill Gates au sijui Angelina Jolie wakiwa Mbugani kwetu lkn tumepata shilingi ngapi hatujui, ...
 
Hili nalo neno takwimu muhimu sana hata kama haziifevi Tanzania lakini itaonyesha pale nchi ilipo, maana parachichi za Tz kuuzwa nje si ajabu hata kidogo nchi hii ilishakuwa kati ya vinara kwenye mkonge, pamba na karafuu tuliongoza miaka hiyo ya mchonga leo tupo dhoooof li hali
 
Binafsi ningependa kuona fedha, nione tumeingiza shilingi ngapi kama Taifa kwa kuuza maparachichi yetu huko, hizo picha zina mengi lkn ni vizuri Serikali yetu wangekuwa wanasema tumeuza Maparachichi kiasi kadhaa nchi xyz na tumepata kiasi kadhaa, vinginevyo hakuna tofauti na kuwekewa picha za akina Bill Gates au sijui Angelina Jolie wakiwa Mbugani kwetu lkn tumepata shilingi ngapi hatujui, ...

Toka mwaka uanze hii ndo comment Bora ya mwanaccm awaye yoyote yule na kokote aliko...! Unapaswa kuwa namna hii .sio kusifu tu
 
Inamaana shida yetu sio kunufaika au kupiga hatua kwenye uchumi ila kuwazidi Kenya tu?

Kwa mwendo huu iko siku tutaambiwa tumefikia uchumi wa juu huku hali zetu ziko vile vile na tutashangilia.

Kuliko mazao yaozee shambani si bora Kenya anunue auze nje tunufaike wote? Tushirikiane hadi kwenye maua, mifugo n.k
 
Binafsi ningependa kuona fedha, nione tumeingiza shilingi ngapi kama Taifa kwa kuuza maparachichi yetu huko, hizo picha zina mengi lkn ni vizuri Serikali yetu wangekuwa wanasema tumeuza Maparachichi kiasi kadhaa nchi xyz na tumepata kiasi kadhaa, vinginevyo hakuna tofauti na kuwekewa picha za akina Bill Gates au sijui Angelina Jolie wakiwa Mbugani kwetu lkn tumepata shilingi ngapi hatujui, ...
Kumbe sometimes unakuwaga na akili we bi dada
 
Binafsi ningependa kuona fedha, nione tumeingiza shilingi ngapi kama Taifa kwa kuuza maparachichi yetu huko, hizo picha zina mengi lkn ni vizuri Serikali yetu wangekuwa wanasema tumeuza Maparachichi kiasi kadhaa nchi xyz na tumepata kiasi kadhaa, vinginevyo hakuna tofauti na kuwekewa picha za akina Bill Gates au sijui Angelina Jolie wakiwa Mbugani kwetu lkn tumepata shilingi ngapi hatujui, ...
Tanzania's avocados go from zero to Sh28bn-a-year crop
 
Kuna watu wataipinga hii link na kubadilisha magoli.
Wale pinga pinga hawakosekani,

Halafu good news kwa sasa ni kwamba mazao mengi yakiwemo parachichi yanasafirishwa hapa hapa Tanzania yaani kupitia viwanja vya ndege kwenda kwenye masoko mbalimbali duniani ndio maana yule jirani mwenye wivu ameanza kuweweseka
 
Ni nzuri sana, wakulima wetu waanze kunufaika ili nasiye tupate moyo wakuingia shambani
 
Back
Top Bottom