Picha-Ofisi ya JF

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,229
0
j.JPG

Ndio maana wakina painkiller wanachanganyikiwa na ku ban watu kumbe ofisi kimeo......
 

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
kama ni kweli hii inabidi ss kama wadau tujenge ofic nzuri kushida ile ya ubalozi wa Tz kuleeeeeeeeeeeee......................
 

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,229
0
kama ni kweli hii inabidi ss kama wadau tujenge ofic nzuri kushida ile ya ubalozi wa Tz kuleeeeeeeeeeeee......................
huoni kuna kile kibabu painkiller kinakuwa kama kimedata.......punguzeni michango ya harusi tuwachangie watendaji wa JF lasivyo ban kama kawa....
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,230
2,000
View attachment 17819

Ndio maana wakina painkiller wanachanganyikiwa na ku ban watu kumbe ofisi kimeo......
Mfano ni kweli kwamba ndiyo ofisi za JF zilivyo je wewe halikuuimi JF kuwa na ofisi kama hiyo na wewe ukiwa kama JF Senior Expert Member, je wewe ukipewa kuindesha JF hata kwa mwezi mmoja unaweza?....
 

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
ah hiyo c pic ya ofic ya jf; ni ofisi ya jamaa yangu j4 fundi simu!!!
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,528
2,000
hahaaaa mkuu Ngabu hivi mubyazi ni nini ?

mkuu, kumbe upo?. Nilikuwa mazimbu juzi kwenye gradu pale freedome square nikaambiwa hujapeleka karo ya shule kwa wale mapacha wako wa dark city. Tafadhari du ze nidifuu.
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,243
2,000
hahahaha hahaha haha.
ofisi bomba sana. naona mnajadili mwonekano wa nje je mmeona ndani ikoje?? full class A office. kiyoyo cha kufa mtu, sakafu yane inaakisi thus mwanamke asiingie amevaa skirt atamwaga kuku kwenye mtama.

Nawahi bank kuangalia balance nione kama naweza kuchangia JF wamalizie dondoo za mwisho za office

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom