Picha official zote za Viongozi ziwe na Bendera ya Taifa kwa nyuma

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,898
5,797
Wakuu ni wakati sasa wa picha za viongozi zinazowekwa kwenye Profile ktk website za Serikali kuwa na bendera ya Taifa leo kwa nyuma kwanza inaleta utambulisho wa haraka sana nimeingia website nyingi tu za serikali naona watu wamewekwa na background kila mtu ya kwake.
tapatalk_1569556991819.jpeg
 
Hizo picha ndo zitafanya nchi iwe donor country/uchumi wa kati?
 
kwa mfano kwenye picha kama hiyo bendera ya Taifa Stars ikae wapi,,!?
 
Back
Top Bottom