Picha nzuri

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,127
2,717
Dogo
FB_IMG_16003687624498719.jpg
 
aisee,ukimuuliza huyo dog hata chadema ni kitu gani hajui,anakunyooshea hivyo vidole.
Sio mtoto tu hata mimi hapa ukiniuliza sijui chochote maana ya kunyoosha vidole kinamna ile,zaidi najua ni namna majizi hutumia vidole hivyo kuchomoa pesa kwa mifuko ya watu
 
Watoto wa siku hizi wanawahi sana kujua vitu, be careful!

hakuna kitu,kama unaona nakudanganya muulize mtoto wa standard 5 hapo mtaani,mji mkuu wa ethiopia unaitwaje.

ndio utajua hata huyo kwa umri wake anafuata kelele za wazazi wake ndani ya nyumba,ukute anaamini chadema pia ni dini nyingine ya 3 kati ya anazo zijuia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom