Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,233
- 8,779
Nini maana ya walahi maana naona kila comment yako lazima iwe na hilo neno?
Labda huwa anawaza ile kitu ya Ezeikel 23:20
Nini maana ya walahi maana naona kila comment yako lazima iwe na hilo neno?
Hope he will rot while dying.....Mzuqa!
Turkish intelligence wametoa picha za wauaji waliotumwa ubalozi wa mdogo wa Saudia Instanbul kwa nia moja tu kumuua kwa Kikatili Khashoggi.
Nigeshangaa kati ya hao 15 angekosa muafrika/mswahili ama mmatumbi.
Labda nadhani ndio yule aliyekuwa anaambiwa avae headfone akisikiza mziki huku akimkatakata Khashoggi. Hii ilisikikika kwenye audio wanausalama wa uturuki waliounasa. Na waeahidi watairoa kwa umma hivi karibuni dumia isikie Khashoggi alivyokua akilia kwa uchungu.
View attachment 901538
Hata wema sepede lazima aweke walahi.Wanaosema 'walahi' ndo wale sigara nyota wanawashwa kotekote
Mbona kitambo wema ni sigara nyotaHata wema sepede lazima aweke walahi.
Sigara nyota means she goes both ways?Mbona kitambo wema ni sigara nyota
YesSigara nyota means she goes both ways?
Hivi "Walahi" maana yake nini ?Trump kachanganyikiwa walahi
Kila chaka mkojo unakuumaANAKUMBUKA ILE KITU YA EZEKIEL 23:20
Yanapenda kuamini ushirikiana sana yani......Hahahaaaaaaa acha yafarakane kwanza
Kila chaka mkojo unakuuma
Umenikumbusha wimbo wa solo "Mambo ya pwani" anakwambia "Njenje wakipiga mbele Chuchu wakipiga nyuma kote wanakwenda".
Wewe ni huyu huyu ISIS ambae anashangilia kila siku Tundu Lissu kunyunyuziwa risasi 30+?Nita watetea ndugu zangu Watanzania kwa kweli ni uwongo hatuna huo ukatili kabisa walahi
Ipende nchi yako kijana mdogo, jifunze kuinenea mambo mema ili upate baraka zake walahi
Na iwe kama ulivyo nena kwa watesi wa Khashogi walahi
Jidunge ndoba usepe usichafue uzi dogoUNAKUMBUKA KUNYWA KOJO LA PUNDA WA EZEKIEL 23:20???
Jidunge ndoba usepe usichafue uzi dogo
Ahahahhahahah ahahahaha duhWanaosema 'walahi' ndo wale sigara nyota wanawashwa kotekote