Picha niliyoipenda leo ni hii anaglieni muipe max

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
JIJI LA DUBAI WAKATI WA USIKU. <hr style="color: rgb(255, 255, 255); background-color: rgb(255, 255, 255);" size="1"> <!-- / icon and title --> <!-- message -->

JIJI LA DAR-S-SALAAM WAKATI WA USIKU LINAKUWA GIZA TOTORO KAMA TUPO MAKABURINI TEHTETEH TUTAFIKA SISI WABONGO KAMA HAPO DUBAI?
 
Baada ya miaka 1000 wakati hakuna ccm na porojo zao za maendeleo.
 
Sisi tumebaki na mashimo ya alimasi, dhahabu nk wenzetu mambo yao yako juuuu. Viongozi wetu waondoe ubinafsi
 
Baada ya kupotea hiki kizazi miaka 2000 ijayo tuote itakuwa hivyo Dar
 
Unadhani kwa nini Mkulu haishi kwenda huko? anatamani kuona madhari nzuri za wenzetu kwake anaona uvivu kupaendeleza.
 
Nadhani hapo umeme ukikatika lazima hilo shirika la umeme wafanyakazi wote wanafukuzwa kazi. Si mchezo hivi haya maviongozi yetu huwa hayaoni haya mambo angalau wapate uchungu wa kuiga??
 
hili ni jiji la dubai, nilifikiri mtu ataweka jiji la Dar es salaam, Majengo ya Dubai yanatusaidia nini sisi? mbona kuna miji mizuri kuliko huu uliouweka hapa? hata kama ni pazuri, mioyo yao ingekuwa mizuri tungesema safi...lakini walivyo na roho mbaya watu wa hapo....kwa wale ambao wanaifahamu Dubai, ni vigumu sana kufanya biashara hapo bila kutoa fungu la kumi kwa mkataba kwa partner yeyote raia wa hapo ambaye wakati wowote akichoka na wewe anaweza kuiambia selikali kuwa anavunja mkataba...ni vigumu sana kwenda kuweka kampuni lako hapo....vivyo hivyo, wanawatesa sana mahouse maid wa ufilipino na nchi zingine za Asia, na africa...they rape them, they lock them ndani ya nyumba kwa miezi, wanawapa mimba na wakati wowote wakiwachoka wanapiga tu simu kuwa wanavunja mkataba na hao mahousegelo....nakwambia hapo fanya biashara ya kupita tu, ila si kwenda hapo unataka kwenda kuwekeza ati, labda uwe bilionea...kama hohehae toka tz hapo unaenda na tumilioni twako, utalia mchozi...i mean kufungua kampuni kama wao wanavyofanya hapa tz...nenda nunua tu kwenye maduka yao waliyoweka wao hautajua kitu ila ukitaka na wewe ushindane nao kufanya biashara ya ukazi hapo, hamna kitu. si unajua waarabu..
 
Kama wivu wa kike hivi...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom