Picha: Ni Ujumbe Gani Unaupata Kwa Picha Hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Ni Ujumbe Gani Unaupata Kwa Picha Hii?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Superman, Sep 6, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Picha kwa hisani ya: Burudan Mwanzo - Mwisho (Seems wameibandua sasa)

  [​IMG]

  Andika kwa maneno yako mwenyewe ni ujumbe gani unaupata kutoka katika picha hii?
   
 2. A

  Anold JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Huyu lazima anarusha za kichina china. Huuu haaaa tiiff. inavyoelekea ni mlemavu, alikuwa anarusha maneno ya kashfa kwa mgombea fulani au wakati mwenge unapita. wazee wa Ukonga walipomkabili akawaonyesha kuwa naye yumo.
   
 3. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  CCM wameshindwa kutoa nafasi kwa wananchi kuwahoji ahadi zilizotolewa 2005 na nguvu za ziada inabidi zitumike kuwazima kama ktk picha:
  Juma Ramadhani (chini ya ulinzi) ambaye ni mkazi wa Nane Nane , Manispaa ya Morogoro , ambaye ni mlemavu wa viungo akizolewa msobe msobe na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia ( FFU) ambao wakisaidiana na Green Guard wa CCM . Sekeseke hilo lilianza mara baada ya Juma kudaiwa kutaka kumwona Mgombea Urais kwa Chama chama CCM,Mh Jakaya Kikwete kwa nguvu bila kufuata utaratibu , wakati huo Mh Jakaya alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni , kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini humo mwishoni mwa wiki.Picha kwa hisani ya Burudan Mwanzo - Mwisho.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ebwana dah
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ni ujumbe huo tu?
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Kusingekuwa na maneno hayo katika picha: Nini nini kingekujia haraka akilini?
   
 7. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila maelezo..nadhani utasema ni unyanyasaji wa hali ya juu wa raia tena mlemavu..lakini maelezo ya picha yatafanya watu wasitoe mawazo kwa uhuru coz watakuwa wameshajua nini chanzo cha kubebwa hivyo...

  pamoja na yote,nadhani utaratibu ukifuatwa haya hayatokei na hasa unapotaka kumwona kiongozi wa nchi.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Unasemaje juu ya utumiaji wa nguvu nyingi kuliko zinazohitajika?
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Askari polisi wametumwa kumlinda mgombea wa chama tawala kwa kila hali na ikiwezekana hata kutotumia akili kidogo walizonazo. Hawajui haki za binadamu hawajui elimu ya uraia.

  Hivyo watu kama hawa wanaowaburuza walemavu, wanaweza kuwa na akili ya kuamini kuwa CCM imeshindwa kura? Ina maana wako tayari kutekeleza amri yoyote itakayotoka kwa bosi wao.

  So sad, Tungoje Oktoba 31.
   
 10. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Do we have Human Rights Activists here??..:confused2:
   
 11. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Nijuavyo mimi, Polisi kwa kawaida huwa hawatumii akili kabisaaaaaaaaaaa
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Du wanatumia nini mkuu kama hawatumii akili?
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  UMOJA WA MATAIFA WAJADILI HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU
  [​IMG]KATIBU MKUU, BW. MSHAM ABDALLA KHAMIS, KATIBU MKUU AFISI YA WAZIRI KIONGOZI SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MAKUBALIANO KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU. NYUMA YAKE NI BI. ABEIDA RASHIDI ABDALLA, MKURUGENZI WA IDARA YA WALEMAVU AFISI YA WAZIRI KIONGZI AMBAYE NI MLEMAVU WA MIGUU AKIFUTATILI MAJADILIANO

  Hisani ya: Michuzi

  Askofu, bwana asifiwe, hao unaowaulizia kama wapo wanajadili haki za watu wenye ulemavu wakati walengwa wanachangiwa na mapolisi. Tatizo la Tanzania ni hilo tutataua matatizo mezani, field hatuendi kabisa. Na hakuna kiongozi atakayelaani hili tukio si raisi, ofisi yake , wizara inayoshughulikia wenye ulemavu, jeshi la polisi na hata wanaharakati.

  Waombee ili wajue kuwa watendalo ni dhambi.
   
 14. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu hayo maneno kwenye avatar yako.......duh!
   
 15. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ndio maana wana amri kuwa unaekeleza kwanza halafu unauliza baadaye, which is quite weird.
   
 16. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Wanatumia misuli

  Bwana asifiwe Mpendwa... Nitazidi kuwaombea...

  Really weird... Ukizingatia mtu ni mlemavu, hana silaha, hawezi kukimbia... kwa nini lakini???????
   
 17. D

  Dick JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hicho ni kipimo halisi cha uelewa na fikra finyu!
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  lakini ulemavu wao usiwe kigezo cha kutaka kupata kila kitu kwa namna wanayotaka wao
   
 19. masharubu

  masharubu Senior Member

  #19
  Sep 6, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu zangu jamaa na marafiki zangu, si ndio hawa jamaa wameweka mabango makubwa yanayoonyesha jk akisikiliza makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo walemavu, au wale walikua wajomba zake wananchi na walemavu kama hawa walie tuu?kesho kwa Mungu kuna kazi
   
 20. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Ulishawahi kumuona polisi wa Tanzania mwenye akili hata mmoja? Nielekeze alipo...!
   
Loading...