Picha: Ni kweli na shibuda hamtambui kikwete hii ilikua jana kwenye mnuso wa wabunge

Anfaal

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
1,154
113
Huyu anaonekana akimsalimia mwenzake kwa heshma ya ha hali ya juu. Huyu anaesalimiwa ni Kikwete au Rais wa JMT kwa mujibu wa picha hii.
 

Attachments

  • 8E9U0008.jpg
    8E9U0008.jpg
    59.6 KB · Views: 585
Sina hakika kama watu wanajua mantiki ya CHADEMA na WATETEA HAKI WOTE dhidi ya demokrasia bakaji!!
 
Nimeona leo katika Blog ya Michuzi Mhe Shibuda akisalimiana na Rais JK katika mnuso wa kuwapongeza wabunge jana Dodoma.

Kumbe kilichosusiwa ni hotuba bungeni lakini wakakubali mwaliko wa party aliyoandaa JK?

Nini tafsiri ya hii hali?.........Je Mbowe na wabunge wengine pia walikuwepo?

Tulio wengi hatuelewe hii ina maana gani.....Total confusion within the party!



View attachment 17301
 
13.jpg

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Jaji Mkuu Agustino Ramadhan, wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu zilizofayika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo.
 
Huyu anaonekana akimsalimia mwenzake kwa heshma ya ha hali ya juu. Huyu anaesalimiwa ni Kikwete au Rais wa JMT kwa mujibu wa picha hii.

attachment.php


I am speechless.....................to put it mildly.....................kweli this is the height of betrayal..............kula kwa nini....................is his body not more than food?
 
Sio shibuda tu, jana wote jioni walihudhuria kwenye mnuso wa JK wakanywa na wakala wakashiba, haya ndio mambo ya BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA, hawa jamaaa ni geresha tu hamna kitu aiseee.
Tunaomba picha kuthibitisha tuhuma hii.........ya kuwa wote Chadema walihudhuria...................au samaki mmoja akioza wote wameoza...........
 
nafikiri hii party ilikuwa ya wabunge wote and we have to remember kikwete naye ni mbunge kwa mujibu wa katiba yetu yenye mapungufu ingalikuwa yake angaliifanyia chamwino na siasa sio uadui with reservation may i say shibuda hajafanya kosa labda kama kuna makubaliano ya chadema aliyoyavunja!
 
It is error alone which needs the support of government. Truth can stand by itself.
 
sio shibuda tu, jana wote jioni walihudhuria kwenye mnuso wa jk wakanywa na wakala wakashiba, haya ndio mambo ya baniani mbaya kiatu chake dawa, hawa jamaaa ni geresha tu hamna kitu aiseee.

hiyo ndio siasa, agosti 2009 ccm na jhk walikuwa bado wanatumia jwtz kuwatisha wapemba. Lakini mabwana zao wafadhili walipowauliza kuhusu ahadi yao ya kumaliza mgogoro wa zanizbar by 2010 ikabidi wakubali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa (tazama attachment). pia utakumbuka licha ya jana jk kujitapa kuwa katunga sheria moya ya takukuru, lakini utakumbuka kuw ailibidi hadi wafadhili wazuie sehemu ya msaada wao ndipo sheria hiyo ifikishwe bungeni.

hivyo ukijua silha ya kutumia dhidi ya adui yako ni sawa na kushinda vita hiyo 50%, jana pale bungeni walikuwepo mabalzoi wa mabwana wa ccm yaani wafadhili. Hivyo kila jk atakapopeleka bukuli kuomba kaka ilivyo kawaida yake atakumbana maswali kuhusu mgogor na chadema. nakuhakikishia before 2015 ccm na jk itawabidi wakubali kurekebisha katiba na kuunda tue huru ya uchaguzi; that is when ccm will become part of tanganyika history.
 
attachment.php


i am speechless.....................to put it mildly.....................kweli this is the height of betrayal..............kula kwa nini....................is his body not more than food?

huyu shibuda naye vipi? Mustachi ka brashi la viatu
 
uyu jamaa ni wa kumwangalia kwa umakini wa hali ya juu sana. anaweza kuwa na agenda yake ya siri...ni wa kumwamini asilimia hamsini, hamsini ni za kwetu..hakika yake, chadema muweni macho sana na huyu mtu.
 
Nadhani ilikuwa sherehe ya wabunge na si sherehe ya waliokuwa bungeni wakati JK anaongea?
Kama siko sahihi may I be corrected!
 
Back
Top Bottom