Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jun 15, 2015 #3 Hiyo nundu kweli nzito, na angerogwa aibebe tu ingekula kwake!
MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,883 6,620 Jun 15, 2015 #4 Zamaulid said: Click to expand... Unaambiwa chukua mwanamke portable wewe unachukua bonge matokeo yake ndo hayo.
Zamaulid said: Click to expand... Unaambiwa chukua mwanamke portable wewe unachukua bonge matokeo yake ndo hayo.
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,266 Jun 15, 2015 #5 MWANDENDEULE said: Unaambiwa chukua mwanamke portable wewe unachukua bonge matokeo yake ndo hayo. Click to expand... Hata mabonge yana raha yake
MWANDENDEULE said: Unaambiwa chukua mwanamke portable wewe unachukua bonge matokeo yake ndo hayo. Click to expand... Hata mabonge yana raha yake
K kibolibo JF-Expert Member May 2, 2012 384 220 Jun 15, 2015 #8 aaah..acha mambo yako ww.. Kila mtu kwa raha zake hapa duniani.. Akuu..kwani umeambiwa anakula portability.. Kipenda rohooo....
aaah..acha mambo yako ww.. Kila mtu kwa raha zake hapa duniani.. Akuu..kwani umeambiwa anakula portability.. Kipenda rohooo....
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,140 3,451 Jun 15, 2015 #9 wakati mwingine inambidi awe mjanja
D Dafugwadu JF-Expert Member Dec 24, 2012 4,489 4,761 Jun 15, 2015 #11 Mmenikumbusha kitu, ngoja leo nim,bebe waifu nione kimbembe chake.
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 Jun 15, 2015 Thread starter #12 Master plan said: Mmenikumbusha kitu, ngoja leo nim,bebe waifu nione kimbembe chake. Click to expand... ha ha ha ha ushaandika urithi!?
Master plan said: Mmenikumbusha kitu, ngoja leo nim,bebe waifu nione kimbembe chake. Click to expand... ha ha ha ha ushaandika urithi!?
Salamander JF-Expert Member Dec 7, 2012 28,538 15,739 Jun 15, 2015 #13 Mambo ya sping break hayo, mi ningembeba tu, huyo jamaa katepeta tu.
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 Jun 16, 2015 Thread starter #14 Salamander said: Mambo ya sping break hayo, mi ningembeba tu, huyo jamaa katepeta tu. Click to expand... unatafuta kukohoa firigis wewe...huyo saizi yake kukumbatia tumbo tu!!!
Salamander said: Mambo ya sping break hayo, mi ningembeba tu, huyo jamaa katepeta tu. Click to expand... unatafuta kukohoa firigis wewe...huyo saizi yake kukumbatia tumbo tu!!!
milioni milioni JF-Expert Member Mar 25, 2013 1,845 1,059 Jun 16, 2015 #18 kabanga said: Anatamani ...... Click to expand... ila hana jinsi atafanyaje sasa inabidi atulie tu nami nasema atulie tu hamna jinsi.
kabanga said: Anatamani ...... Click to expand... ila hana jinsi atafanyaje sasa inabidi atulie tu nami nasema atulie tu hamna jinsi.
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,703 37,315 Jun 16, 2015 #19 Mzembe tu huyo.hayo ndio madhara ya kula chipsi biskuti na maji. Mwanaume wakweli hakubarigi kishindwa sehemu kama hiyo.
Mzembe tu huyo.hayo ndio madhara ya kula chipsi biskuti na maji. Mwanaume wakweli hakubarigi kishindwa sehemu kama hiyo.