chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,383
- 24,939
Ndege ndogo ya kupuliza dawa mashamba ya wawekezaji wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imeanguka kijiji cha Ipalamwa wilayani humo, taarifa za awali zinasema hakuna aliyepoteza maisha .
Mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah amethibitisha kutokea kwa ajili hiyo na kusema kuwa ndege hiyo ilikuwa ikitoka Mufindi kwenda Kilombero mkoani Morogoro na kuwa rubeni wa ndege hiyo ametoka salama.
Source:[HASHTAG]#MatukioDaima[/HASHTAG]