Picha; ndaga wilayani rungwe vurugu tupu barabara yafungwa zaidi ya saa nne

Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Hivi baba Riz anapata usingizi
kweli????

Mkuu,
Usingizi anapata. Muda mwini yuko nje ya nchi kwa hiyo huwa zinatokea timbwili kama hizi zkiwa katika pipa
 
Ni mwanzo tu bado yatatukuta mengi kama kama serikali yetu itaendelea hivi hivi na mambo yake
 
Kutoka moyoni mwangu nawashukuru vijana wa peopleeeeeeeeeeeez pale dox (mwanjelwa mby mjini) kwa kuwatoa tongotongo watu wa pembezoni. Ilianzia miji wa Kiwira Tukuyu walipogomea ushuru wa ndizi chini ya uongozi wa Diwani machachari wa CHADEMA, na sasa moto unaanza kusambaa kwa kasi ya kupendeza. Soon Dr. Mwakyusa atatupisha kwenye jimbo lake, kisha Mwandosya na hatimaye Mwakyembe kama hatakuwa msikivu na ushauri wetu wa kuhamia chadema.
 
mie binafsi NAFURAHI kuona hivi, ...... na hiki ni kiashirio tosha kwamba tunaelekea kwenye maendeleo. nawapa pongezi wana RUNGWE
 
Back
Top Bottom