Picha; ndaga wilayani rungwe vurugu tupu barabara yafungwa zaidi ya saa nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha; ndaga wilayani rungwe vurugu tupu barabara yafungwa zaidi ya saa nne

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, Jul 3, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]OFISI YA USHURU WA MAZAO NDAGA IMEBOMOLEWA NA KUCHOMWA MOTO[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]BARABARA YA MBEYA RUNGWE IMEFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]
  WAKAZI WA NDAGA WILAYANI RUNGWE WAMEFUNJA GETI LA USHURU WA MAZAO NA NA KUCHOMA OFISI HIYO YA USHURU KWA MADAI HAWAONI FAIDA YA GETI HILO KWANI LIMEJAA RUSHWA TUPU NA UNYANYASAJI KWA WAKULIMA
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tunataka haki kila kona, pa1 sana wanyambara
   
 3. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata ndugu zangu wasafa wameamuka mmhhh!
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Huku nako watasema wametumwa na chama fulani kufanya hivyo,nchi hii kila pahala tatizo.
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo huu mwaka.
  Kila kona kinanuka tu. Tukimbilie wapi?
   
 6. d

  dguyana JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbuyu ulianza kama Mchicha.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ondoeni udhaifu wote wa hili serikali dhalimu
   
 8. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Viashiria vya serikali dhaifu,na kiongozi wake dhaifu..........
   
 9. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Safi sana ni miongoni mwa mbinu za kudai haki.....
   
 10. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Mbaya wetu yuko Magogoni mkuu..
   
 11. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
  Hivi baba Riz anapata usingizi
  kweli????
   
 12. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mbombo ngafu!
   
 13. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Mwisho wao umewadia hao ccm
   
 14. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mmh hawaogopi serikali?
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kwani JK ALIKUWA HUKO?
   
 16. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanafalsafa mmoja sijui ni Marx au ni nani vile, aliwahi kusema ukitaka kujua mtu anareact kiasi gani basi wewe mnyonye to the maximum hapo utajua tu atarespond vipi. Hili na matukio mengi yaliyopita yanajidhihirisha kwa jinsi hii. Bado na mengine mengi tutayashuhudia.
   
 17. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Tuliwahi kuambiwa na wahenga 'Aliye juu mngoje chini!' Nadhani sasa umefika wakati wa kubadilisha usemi huu iwe
  'Aliye Juu mpe mkong'oto huko huko halafu umteremshe chini'
  Kinachotokea sasa Tanzania ni sambamba na huu usemi wa pili.
  Watu wamechoka na wanatoa vilio vyao kila kona kwa namna wanayoweza wao!
  Tuko kwenye mchakato wa kuwateremsha chini, na kibano kinaanzia huko huko juu!
   
 18. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wananchi wamechoka kuonewa
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  malafyale :israel::israel:mpaka kieleweke
   
 20. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kwetu Singida hatutaki mambo kama haya.............
   
Loading...